Mchuja Nafaka G
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 763
- 253
Nchi yetu ina zaidi ya watu milioni 49 kadili ya takwimu za mwaka 2013, waliokuwa na muda/muamko wa kujiandikisha kupiga kura walikuwa watu milioni 23,161,440. Hatimaye waliopiga kura walikuwa watu 15,589,639.
Taarifa zisizo ramsi, watu wamemkubali JPM hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kushinda uchaguzi wa mwaka 2020 kwa zaidi ya asilimia 95.
Hivyo basi Uchaguzi wa mwaka 2020 unafutwa kuepusha gharama zisizo na ulazima; ni anasa. Angalia gharama za maandalizi uchaguzi, kuandikisha wapiga kura, kampeni, kuhesabu kura. Watu wakafanye kazi badala ya kukalishwa katika foleni. Uchaguzi Mkuu 2020 Ufutwe