Chaguo la Kikwete kwa mshirika RA

Mimibaba

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
4,557
1,291


41784_148053981881068_35_q.jpg
Kikwete amefanya uamuzi wake, na Watanzania wafanye wa kwao!

Fanya uamuzi wako wa busara
 


41784_148053981881068_35_q.jpg
kikwete amefanya uamuzi wake, na watanzania wafanye wa kwao!

Fanya uamuzi wako wa busara

hivi hapa bado watu wanaichagua ccm!!!!!!kweli kulogwa ishu!!!!!!!

Mungu ibariki cuf, mungu ibariki chadema, mungu wabariki wanamageuzi wote, tuondokane na undondocha wetu watanzania.
 
lakini apinganae na wengi apingana na Mungu, sauti ya wengi ni sauti ya Mugnu, mkuu wetu ambaye tulimpa kura nyingi anaonavipi kuwapendelea wezi? Je CC ya CCM haikuwa na masikio hata kuwapitisha watu ingawa ni wezi wa uchumi wa TZ? Eee! Mungu wetu afanyae mambo ya ajabu tunakuomba sn utukombolee taifa letu kutoka kwa mafisadi hawa, Baba tunaomba msaidie mtumwa wako aliyesikia sauti ya wengi ambayo ni sauti yako.
Mungu ibariki Tanzania
mungu Mbariki Slaa
Rais Mteule wako kwa faida ta wtu wote.
Amen.
 
duh.. kwa hiyo watu wamemshtukia eh?

Wamestukia kwa kuona ila kwa vitendo sijui kama wamestukia, ati kwani watu huudhuria mikutano tena kwa wing, ila swala zima kwangu mie ni je watapiga kura walijiandikisha kupiga kura au??

 
Kwa hili wananchi wanatakiwa kujua kuwa Kikwete haitakii mema nchi hii. Tumkatae kabisa.
 
Atashituka atakapoona nguvu ya Umma Octoba 31, Huyu hana nia njema na nchi hii, Kudhubutu kunyanyua Mkono wa Fisadi Na, 1, bila woga. Ole wake aibe kura Octoba 31,



41784_148053981881068_35_q.jpg
Kikwete amefanya uamuzi wake, na Watanzania wafanye wa kwao!

Fanya uamuzi wako wa busara
 
Halafu ukiangalia midomo ya huyo fisadi no.1 utaona lile pose la sanifu au kuzuga vile..nyie angalieni kwa makini, ulimi wake
 
Halafu ukiangalia midomo ya huyo fisadi no.1 utaona lile pose la sanifu au kuzuga vile..nyie angalieni kwa makini, ulimi wake
Niliona katika taarifa ya habari utadhani Mkulu anamuogopa...
Fisadi full confidence.. Kweli nchi imenunuliwa...
 
am sick and tired of such nonsense,kweli mkuu anawakumbatia mafisadi anadai ni watu safi.we have to change,its time to change
 
ungekuwa wewe ungefanyeje? Watu wa Igunga ndo tayari wameshamchagua halafu wewe umkatae? Siunapoteza jimbo. Agh, mijitu mingine bana, pumba nyingi.
 
ungekuwa wewe ungefanyeje? Watu wa igunga ndo tayari wameshamchagua halafu wewe umkatae? Siunapoteza jimbo. Agh, mijitu mingine bana, pumba nyingi.

hapa si suala la kikwete kwenda ikulu au slaa kwenda ikulu hapa ni suala la kitaifa zaidi na kutetea nchi yetu wewe umetumwa nini na mafisadi? Au wewe pia ni fisadi?
 
naona mnazungumza pumba kweli kweli....huyo RA mnaesema fisadi kwa taarifa yenu igunga ya 94 si igunga ya 2010,ilikuwa ni wilaya ya mwisho kimaendeleo katika mkoa wa tabora na leo hii ni ya kwanza katika mkoa wa tabora na kama sikosei katika tz itakua ya kwanza katika wilaya...kwaiyo nyinyi imbeni mpaka mpasuke sisi wana igunga tunamuitaji bado tena sana,kwaiyo wacha JK hata dk slaa au bb yake akishika nchi sisi mbunge wetu katika jimbo la igunga atabakia RA.tunachoangalia maendeleo,sio rangi au kabila au dini....pumbav
 
Back
Top Bottom