Bi. Anna Makinda.
Waliobwagwa katika kinyang'anyiro hicho cha akina mama watatu walioteuliwa na Kamati Kuu ya CCM hapo jana kuwania kiti hicho ni Bi. Kate Kamba aliyepata kura 15, Bi. Anna Abdalah aliyepata kura 14.kwa maana hiyo Mheshimiwa Anna Makinda (CCM) atapambana na Mabere Marando wa (CHADEMA) ili kumpata Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tags: anna, ccm, makinda, mgombea, ndiye, uspika
Share Twitter Facebook