Chagulaga..... weekend njema guys!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
bichwa la habari lahusika saaaanaaaa!!!!!!!

grants_ale_cask.jpg


220px-Amarula_(1563541954).jpg


1305257992640.jpg


savanna-09.jpg


scottish-leader.jpg


na kwa wale wapendwa kama mimi..... haya!!!!

ColdDrinks.jpg
 
haya maziwa huwa ndo ugonjwa wangu, ngoja nijimiminie angalau nijiburudishe kidogo

hahahaaaa dada mkubwa kumbe mekutachi eeehhh.... enjoy mwaya maisha yenyewe ndo hayo tu!!!!
 
kichwa habari ni tata,mi nilijua kujichangulia wa kutoka naye, any way mi sipendi hayo napendaga yale
 
Ile ilikuwa ni Brandy kutoka India, inaitwa GOVINDER KUMAR

ngoja niigugo.... afu next tym nikija ntakusafta ili uniiibie kamoja nikakanywee rum make me huwa naona aibu kunywa pombe mbele za watu.... huwa nanywea rum tu!!!!!
 
Yaani hapo kwenye savanna dry . . . Kaunga ndo mmemfikisha!
Kaninyanganya hadi hela yangu ya sadaka ya kesho!

Ila na sie wa Sayona na Azam embe mbona mmetusahau wajameni???!! lol

Kipipi shost angu nimewawekea mwishoni hujaona??? km vp liunge kwenye juice zangu hapo!!!
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom