Chagua wacheza soka 3 mahiri zaidi kutokea tanzania mpaka sasa.

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
13
Mdau kama ungeambiwa chagua wachezaji wa soka unaowaona mahiri zaidi kutokea Tanzania ungewachagua akina nani?
Mimi kwangu
1. Sunday Manara
2. Nico Njohole
3. Athumani Mambosasa
 
[1] Mohamed Rishad Adolf

[2] Hamis Gaga Rhino

[3] Jellah Mtagwa na Peter Tino
 
Mdau kama ungeambiwa chagua wachezaji wa soka unaowaona mahiri zaidi kutokea Tanzania ungewachagua akina nani?
Mimi kwangu
1. Sunday Manara
2. Nico Njohole
3. Athumani Mambosasa
1. jimson sembuli
2. jela mtagwa
3.said mwamba kizota
 
Back
Top Bottom