Chagua kufanyakazi upate hela kihalali achana kutegemea nguvu za giza-p funky | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagua kufanyakazi upate hela kihalali achana kutegemea nguvu za giza-p funky

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 31, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,483
  Likes Received: 5,718
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikisikiliza porojo za clouds fm na mawaziri /wabunge na hata rais walipopelekewa ujumbe warekodiwe chagua chagua chagua ......u dk,,chagua 330,000 za wabunge kuna mmoja amenikosha si mwingine ni kijana pfunky yeye akadai chagua kufanyakazi kwa bidii achana kutegemea nguvu za giza
  hii ni pamoja
  na uchawi
  waganga
  na laana zote za shetani
  big up pfunky ila ungenipa mie nichague
  ningesema chagua kuacha majaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...........................upate hekima nyingi duniani
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  majani!!!!!!!!
   
Loading...