Chagua kazi kati ya Geita, Dodoma au Arusha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,554
44,725
Ewe mwana JF ingekuwa Ni wewe una options tatu

1. Kazi Geita katika mgodi mshahara laki saba na nusu. Mambo installation za maji katika mgodi wa Acacia.
2. Kazi Dodoma Mjini udereva mshahara laki tano dereva wa wizara ya maliasili idara ya Mambo ya kale
3. Kazi Arusha Arumeru serikalini katika miradi mshahara laki sita, miradi ya RUWASA

Ungechagua wapi?
 
Itategemea na other factors!

Matharani;

Your place of domicile

Mfano kama chimbuko lako ni mkoa wa Tanga utaenda Geita kufanya nini si bora kwenda Arusha karibu.

Kama kwenu ni mikoa ya kanda ya ziwe ni bora kwenda Geita au walau Dodoma kuliko Arusha .

Gharama za maisha

Upatikanaji wa fursa nyingine mfano kilimo, mifugo n.k
 
Ni kazi gani hiyo labda to a ufafanuzi mzuri na hizo sehemu unazokwenda kufanya kazi ili ushauriwe vizuri.lasivyo ushauri utakaoupata hapa haina maana yoyote maana kuna details za muhimu zinakosekana.
 
Back
Top Bottom