Chagua kazi kati ya Geita, Dodoma au Arusha

Ewe mwana JF ingekuwa Ni wewe una options tatu

1. Kazi Geita katika mgodi mshahara laki saba na nusu. Mambo installation za maji katika mgodi wa Acacia.
2. Kazi Dodoma Mjini udereva mshahara laki tano dereva wa wizara ya maliasili idara ya Mambo ya kale
3. Kazi Arusha Arumeru serikalini katika miradi mshahara laki sita, miradi ya RUWASA

Ungechagua wapi?
Geita. Nitakua mkulima Mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom