Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,957
- 8,073
Jungu kuu
Umeambiwa lianze na herufi JNatalie
Kwani namba ya bahati uwa ni namba ya kuzaliwa au niaje niaje? Kama ndio hivyo vipi kwa wale waliozaliwa double digits dates I.e 22,26,17,18 nk09.09.2019
kuna tisa 3 hapo.
tarehe 9 mwezi wa 9.
namba yake ya bahati ni 9.
kuna uwezekano pia akawa amezaliwa saa 9, saa 6 au saa3.
muite Janaina ikimaanisha "janine/ja9"
jah ni mungu.
jina lake linakua na muunganiko wa mungu baba muumba pamoja na namba yake ya bahati, ni jina la kike zuri.
Mimi nimeandika ninalolipendaUmeambiwa lianze na herufi J
JambaJulietha
Juliana
Joan
Justina
Janga
Janguo
Jasmin
Jenifer
Jupita
Janeth
Joanita
Jamba
Julia
.....majina ni mengi mno.
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...janet nimelielewa zaidi mkuu thanx
Majina ya kuchaguliwa mitandaoni sio mazuri... Huwezi kuchaguliwa jina na mtu ambaye humfahamu hata sura achilia mbali jinatafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019
naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...tayari jina lishaundiwa roho hiliBadili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...
Samahani lakini.
Thread za kijinga hivi ndivyo nakomenti.
Muache... Ndo mabaharia hao.Majina ya kuchaguliwa mitandaoni sio mazuri... Huwezi kuchaguliwa jina na mtu ambaye humfahamu hata sura achilia mbali jina
Kuna ibilisi humu wanaotafuta miili ya kujenga madhabahu zao... Watakuchagulia jina zuri linalovutia mno... Na wataliundia roho.... Ukilichukua tu hilo jina na kumpa mwanao umekwisha... MAKINIKA
Mwenye masikio na asikieMuache... Ndo mabaharia hao.
Umeambiwa lianze na herufi J
Mbona Janeth wa John kamzaa Jesca...mama hakuwa malaya, Jesca sio malaya na bado anaishi...Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...
Samahani lakini.
Thread za kijinga hivi ndivyo nakomenti.
Justice
Jury
Jurisprudence
Jurisdiction
Jurassic
Juventus
😷😷😷😷😷😷😷😷😷Mbona Janeth wa John kamzaa Jesca...mama hakuwa malaya, Jesca sio malaya na bado anaishi...
double digits unajumlisha, kama ni 31 = 3+1 etcKwani namba ya bahati uwa ni namba ya kuzaliwa au niaje niaje? Kama ndio hivyo vipi kwa wale waliozaliwa double digits dates I.e 22,26,17,18 nk