Chagua jina la kumpatia mtoto

Wild fauna

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
461
189
tafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019
naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
 
Julietha
Juliana
Joan
Justina
Janga
Janguo
Jasmin
Jenifer
Jupita
Janeth
Joanita
Jamba
Julia
.....majina ni mengi mno.
 
09.09.2019
kuna tisa 3 hapo.
tarehe 9 mwezi wa 9.
namba yake ya bahati ni 9.
kuna uwezekano pia akawa amezaliwa saa 9, saa 6 au saa3.

muite Janaina ikimaanisha "janine/ja9"

jah ni mungu.
jina lake linakua na muunganiko wa mungu baba muumba pamoja na namba yake ya bahati, ni jina la kike zuri.
tafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019
naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom