Elections 2010 Chagua ccm!! Utake usitake utaichagua tu!!!!!!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Naanza kwa kuuliza swali... Hivi ukiwa umekaa umejituliza ukamuona panya anakimbia kutoka sehemu nzuri kuelekea kwenye moto mkubwa unaowaka utafikiria nini? Jibu langu mie nitajibu baadae lakini usiseme huyo panya ni mjinga wala mwehu!! ana maana yake!!Yaani tusipokuwa makini, hali hii itaendelea. Sijui tumelogwa. Hivi watanzania tuwaambie nini hadi waelewe? Naomba muangalie hizi picha hapo chini. Ninachojiuliza ni kwamba raslimali zoote tulizonazo, Mbuga za wanyama, Diamonds, Dhahabu, Tanzanite, Uranium, Ziwa Victoria, Tanganyika, Nyasa, Mito, Mlima Kilimanjaro, yaani jamani nani anakula hizi fedha. Waliorudisha fedha za Epa walipewa Stakabadhi namba ngapi? Kuna anayejua risit walizopewa? Kwa nini elimu isitolewe bure? Kipi kimefanyika cha maana kiasi kwamba fedha hazionekani? Kama ni barabara bado ni shida, waulize wakazi wa Sumbawanga. Kama ni maji bado ni kilio sehemu kibao hapa nchini, kama ni umeme udo usiseme kabisa, Zahanati ni za ajabu waganga wanakimbilia botswana, shule zetu za msingi kwingine bado ni shida, Labda fedha zilitengeneza vyeti vya uraia kwa ajili ya Watanzania ,lakini viko wapi? Labda fedha zimeboresha makazi ya Maaskari, lakini wapi!!! Na bila kujiuliza wanatii amri kama ambavyo mfugo fulani aufugao binadamu kiamrishwa hivi:- SHIKAAAAAAAAAAA, huo mfugo hukimbia na kushika bila hata kuhoji ninayemshika kafanyaje? Yaani Tabu tuuuu!! Sasa oneni hapa chini...:A S angry::A S angry::A S angry::tape::tape:


Chagua CCM

Ofisi zetu

download
MAKAZI YETU
v
download

shule zetu
|
v


download
Darasani kwa watoto wetu
|
v


download
Huko vijijini-Dispensary
|
v
download
download




WAO WAKICHAGULIWA....
Ubalozi wa Tanzania Washington

download

Ofisi zetu za Bunge

|
v

download


|
v

download


Kuna cha kuongeza?

Sasa tucheze na hesabu 6,900,000/= kwa mbunge mmoja,zidisha mara miezi 12 then zidisha kwa miaka 5 = 414,000,000/= jumlisha 50,000,000/= anayopewa mara baada ya kumaliza miaka 5 = 464,000,000/= kwa mbunge mmoja.



464,000,000/= siko tayari kuzidisha fedha hii mara wabunge wote kwa miaka 5,calculator yangu itachanganyikiwa alafu niingie gharama ya kununua nyingine.

Kazi kwenu wadau mie sina lakusema.
 
As far as I am concerned CCM can go to hell............We have suffered so much under CCM culture of venality and brutality............God of Ibrahim, Isaac and Jacob have mercy on our poor souls
 
ccm ni chama kinachotumiwa na watu wachache kupora mali ya Watanzania. Wanakitumia chama hicho kusingizia kuwa ni ile CCM tuliyoachiwa na Mwl Nyerere. Hawa wamekiteka chama na huwapumbaza Watanzania kwa kuwaongopea. Chama hicho ni cha kuogopwa kuliko ukoma na magonjwa yote yakijumlishwa. Tatizo ni uongozi wa juu wa chama hicho, na kama ukitaka kumuua nyoka, basi mkate kichwa chake, Hivyo Watanzania wote wasimpigie kura Kikwete kwani ndio mwanzo wa ccm kuharibika. ccm...ZIIIII!
 
Usiwe na wasiwasi siku za CCM kuendelea kutawala nchi hii zinahesabika!
 
Voting for that particular party is tantamount to embracing corruption, banditry, impunity and all sort of indiscriminate practices that have for several decades continued to subject a vast majority Tanzanians into absolute poverty, frustration and disillusionment.God be with those who seek justice all the time.
 
ccm ni chama cha watu walegevu kufikiri, chama kinachoshabikiwa na watu wenye ubongo ulio na matege.
 
Back
Top Bottom