Chagua aina ya ndoa unayoizimikia

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,206
1,029
Laiti NDOA Ingekuwa ya vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?

1.Cha siku?

2.Cha wiki?

3.Cha mwezi?

4.Cha mwaka?

5.Cha milele?

Kuwa mkweli usifiche
 
Wengi kwa unafiki watakuambia namba 5....Kifurushi cha milele, ila mioyoni mwao wanatamani hata cha siku....
 
Raha ya ndoa ni kumpata akupendae afu na wewe uwe unampenda...yeleuwiiii,afuu muwe marafiki
......lol NTAHITAJI ya MILELE
 
Laiti NDOA Ingekuwa ya vifurushi, Je, wewe ungejiunga na kifurushi gani?
1.Cha siku?
2.Cha wiki?
3.Cha mwezi?
4.Cha mwaka?
5.Cha milele? Kuwa mkweli usiiche!?

labda nikuulize swali, "upara ingekuwa ni mtindo wa kusuka nywele, je ungesuka
1. twende kilioni
2. rasta za kimasai
3. yeboyebo...
kuwa mkweli usifiche"
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom