Chagonja: Ni kweli Bomu, Bastola na SMG vilitumika tukio la Arusha

Hilo nalo neno, polisi wetu wanavyopenda sifa eti wamwone mualifu alafu washindwe kumthibiti kisa wananchi wanawazuia hapa nabaki na ????, hao raia ambao hawana silaha tu huwa wanamiminiwa risasi utasema Marekani wamemwona mwakilishi wa Al Queda
 
Eti Raia walizuia polisi wasimkamate mrusha bomb!kivipi mbona inchi inachosha kwa usani,hivi hawa kina chagonja wanamjua MUNGU kweli......?Ajabu na kweli ila kwakuwa hata wao pua zao zimeelekea chini iko siku yao pia .......
 
Bomu la kijeshi kutoka china? jeshi lijisafishe na kuchuka hatua. Usalama ujisafushe bomu linefikaje arusha, limepitaje bandari....nani mmiliki wa bastol, smg....

Changojwa amepata wapi ushaidi maana jana aliuitaji kutoka kwa mh Mbowe.

Tanzania nzima imepigwa upofu hata asiwepo wenye hekima kuingilia kati mgogoro huu ili nchi ibaki salama?
 
SWALI Je bomu hilo limetokaje kwenye magara ya Jeshi.?
Swali la pili JE china inaweza kutueleza mabomu hayo wamemuuzia nani hapa A/mashariki.?
Je NI KATI YA MSAADA TULIYOPATA TOKA CHINA.?
Mkuuu wa majeshi hapa nchini analojibu sahihi wamfuate.?
 
UPDATES
*'Chagonja anadai uchunguzi wake wa awali unaonyesha kuwa mtu huyo huyo aliyerusha Bomu ndiye pia huyo huyo aliyetumia bastola kupiga watu na ndiye huyo huyo alitumia SMG kulenga watu kama njia ya kujihami asikamatwe na watu, polisi walimwona ila raia wakazuia polisi wasimkamate'*
NI HATARI KWA POLISI KUINGIA KWENYE SIASA DIRECT NAMNA HII. HUYO MTU ATUMIA SILAHA ZOTE HIZO BILA HATA MMOJA WA POLISI KUMWONA NA KUGUNDUA HATARI ILE.

HEBU FIKIRIA MTU ANAIBUKA TOKA ALIKOKUWA AMEJIFICHA NA MKONONI ANA BASTOLA, SMG NA KISHA ARUSHE BOMU KIMYA KIMYA BILA KUONEKANA, AJIHAMI KWA KUTUMIA SMG NA BASTOLA MTU HUYO HUYO MMOJA??? TENA POLISI WASHINDWE KUMDHIBITI. AAH POLICCM.
 
Eti Raia walizuia polisi wasimkamate mrusha bomb!kivipi mbona inchi inachosha kwa usani,hivi hawa kina chagonja wanamjua MUNGU kweli......?Ajabu na kweli ila kwakuwa hata wao pua zao zimeelekea chini iko siku yao pia .......
Heti raia walikuwa wanamzuiya.?
Pili anasema mtu huyo ndiye aliyekuwa anatumia siraha hizo kupiga watu.?
Je kuna ukweli kwa kauli hiiiiii.?
Bado jeshi la polisi linajua kitu hapa.!!!!!!!!
 
Viongozi wengi wa CCM ni wa kunyonga hadharani
Siku hizi ccm imetekwa na genge la mafisadi wengine wauza unga. Ndio hao wanaofadhili ugaidi dhidi ya cdm kwa kuihofia isitwae madaraka na kuwakomboa wananchi.
 
Watu wanasahau kuwa Damu ya mtu aimwagiki bule.
Mfano, Gadafi alimwaga damu ya watu,naye alikufa kifo kibaya.
 
Watanzania kama hatuwezi siasa basi turudi mfumo wa Chama kimoja, chama hicho kiitwe chama cha Watanzania, na kiundwe na vyama vyote vyenye Wabunge na kwa idadi sawa na asilimia yao Bungeni. kwisha fujo! baada ya miaka kadhaa ikiwa midadi imeisha tujaribu tena siasa ya vyama. samahani kwa utani wapendwa watanzania
 
ukweli utajulikana siku sio nyingi
na ukweli huo utakiuwa chama kinachodai kina hati miliki na nchi,
ukweli huo utawavua madaraka Nape na Mwigulu.
kila jambo hutokea kwa sabbau fulani
Shetani hawezi kukutuma jambo kisha asikuumbue.
 
UPDATES
*'Chagonja anadai uchunguzi wake wa awali unaonyesha kuwa mtu huyo huyo aliyerusha Bomu ndiye pia huyo huyo aliyetumia bastola kupiga watu na ndiye huyo huyo alitumia SMG kulenga watu kama njia ya kujihami asikamatwe na watu, polisi walimwona ila raia wakazuia polisi wasimkamate'*
NI HATARI KWA POLISI KUINGIA KWENYE SIASA DIRECT NAMNA HII. HUYO MTU ATUMIA SILAHA ZOTE HIZO BILA HATA MMOJA WA POLISI KUMWONA NA KUGUNDUA HATARI ILE.

HEBU FIKIRIA MTU ANAIBUKA TOKA ALIKOKUWA AMEJIFICHA NA MKONONI ANA BASTOLA, SMG NA KISHA ARUSHE BOMU KIMYA KIMYA BILA KUONEKANA, AJIHAMI KWA KUTUMIA SMG NA BASTOLA MTU HUYO HUYO MMOJA??? TENA POLISI WASHINDWE KUMDHIBITI. AAH POLICCM.
Kama mtu mmoja atakuwa na zana zote hizo ni commandoo na mtumishi wa Serikali tu, kwa kawaida siyo rahisi na angweweza kuonekana na kuchukulia hatua mapema.Bunduki ya smg ni kubwa zaidi ya mita mmoja hata polisi waliokkuwepo kwa ulinzi wangemwona na kumdhibiti ,lakini kama alivaa uniform za jeshi na kumlinda wao wenyewe ni mgeni wa serikali na serikali ndiyo iliyomtuma kufanya kazi hiyo ya mauaji.
 
Leo asubuhi kupitia Radio One, kamanda wa Upelelezi Chagonja amethibitisha Kauli ya Mbowe kuwa ni kweli tukio la mlipuko wa Arusha lilihusisha silaha tatu tofauti, yaani BOMU, BASTOLA na BUNDUKI(SMG).

Amesema ni kweli Bomu ni la kurushwa na pia lilitengenezwa China tena kiwandani. Pia amethibitisha kuwa baada tu ya bomu kulipuka wahusika walikuwa wakifyatua risasi kulenga watu na maeneo mahali bomu lilipolipuka.

MY TAKE:
1/Tukio hili la Arusha lilikuwa na wahusika wasiopungua watatu tena wakifanya kazi tatu tofauti, Mrusha bomu(BOMBER), Mfyatua risasi(SHOOTER) na Mlenga shabaha(SNIPER).

2/Kuna ukweli kuwa wahusika ni watu wanaofanya kazi na taasisi za kiusalama ama wamewahi kupata mafunzo ya kiusalama(Polisi, Jeshini nk)

3/Hili ni tukio la KUPANGWA MAHUSUSI, kwani inaonekana kulikuwa na uratibu maalum mpaka lifanikiwe.

UPDATES
*Chagonja anadai uchunguzi wake wa awali unaonyesha kuwa mtu huyo huyo aliyerusha Bomu ndiye pia huyo huyo aliyetumia bastola kupiga watu na ndiye huyo huyo alitumia SMG kulenga watu kama njia ya kujihami asikamatwe na watu, polisi walimwona ila raia wakazuia polisi wasimkamate!!!

.
Polisi wa Tanzania ni wehu ama ni vichaa moto kabisa.
Hivi inaingia akilini kuwa mtupa bomu wamuone na washindwe kumkamata kwa sababu ya kurushiwa mawe dhidi ya bunduki zao za moto walizo nazo plus ujuzi wa kijeshi? Ndio maana majirani zetu wote wanatudharau na hawatuamini katika jambo lolote la kiujuzi. Kauli kama ya mgonja ndio zinazofuta hata wale wasomi wachache nchini na weledi. Kwa sasa hivi naanza kujionea aibu kujitambulisha Mtanzania na chuki yangu kwa watawala inaongezeka yaani najaribu kuizuia hata kwa maombi nashindwa.
.
 
UPDATES
*'Chagonja anadai uchunguzi wake wa awali unaonyesha kuwa mtu huyo huyo aliyerusha Bomu ndiye pia huyo huyo aliyetumia bastola kupiga watu na ndiye huyo huyo alitumia SMG kulenga watu kama njia ya kujihami asikamatwe na watu, polisi walimwona ila raia wakazuia polisi wasimkamate'*
NI HATARI KWA POLISI KUINGIA KWENYE SIASA DIRECT NAMNA HII. HUYO MTU ATUMIA SILAHA ZOTE HIZO BILA HATA MMOJA WA POLISI KUMWONA NA KUGUNDUA HATARI ILE.

HEBU FIKIRIA MTU ANAIBUKA TOKA ALIKOKUWA AMEJIFICHA NA MKONONI ANA BASTOLA, SMG NA KISHA ARUSHE BOMU KIMYA KIMYA BILA KUONEKANA, AJIHAMI KWA KUTUMIA SMG NA BASTOLA MTU HUYO HUYO MMOJA??? TENA POLISI WASHINDWE KUMDHIBITI. AAH POLICCM.

Mkuu, Tanzania ina mengi ya ajabu sana. Jamaa alikesha akiangalia simena za Anorld Schwarziniger akaendeleza hata alipoamka.

Haya ndo madhara ya kuizika Tanganyika Takatifu na kuzaa Tanzania waliyokabidhiwa wanajimu na wachawi.
 
Leo asubuhi kupitia Radio One, kamanda wa Upelelezi Chagonja amethibitisha Kauli ya Mbowe kuwa ni kweli tukio la mlipuko wa Arusha lilihusisha silaha tatu tofauti, yaani BOMU, BASTOLA na BUNDUKI(SMG).

3/Hili ni tukio la KUPANGWA MAHUSUSI, kwani inaonekana kulikuwa na uratibu maalum mpaka lifanikiwe.

Nimekuwa nikitafakari sana juu ya tukio la Arusha, hasa niliposikia kwamba wale waliokuwa wanamfukuza mtu aliyerusha bomu walipigwa risasi pale walipokaribia kumkamata!

Ningependa kujua polisi wamejuaje hili ni bomu toka China? Je, wameweza kuona kipande chenye serail number (sijui kama grenades zinakuwa na serial nummber). Ikiwa ndivyo basi ni rahisi kuwasiliana na watengenezaji kuchua hiyo batch ya mabomu iliuzwa kwa nchi gani. Na kama ikionekana ni Tanzania, basi angalau tujue hayo mambomu yalitokaje armory kwa kuwa Tanzania hatuko vitani na ni rahisi ku-trace utokaji wa silaha toka ghala za jeshini.

Hivi ndivyo FBI wanakamata watu kirahisi mno.
 
Chagonja aache kukurupuka kipumbavu!
Raia walimwona mrusha bomu, waliwaona polisi wengine wapiga risasi kwa bastola na smg!
Hivyo si kweli kwamba mrusha bomu mtumia risasi kwa bastola na smg ndiye huyo huyo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom