Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHAGGA (Wachagga) ni kabila au ni makundi ya watafutaji / wahamiaji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ukwaju, Aug 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,778
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics and all of them are POLITICIAN
  (kwanini wote wanajiingiza katika kuanzisha vyama? au kuwa viongozi wa vyama vya Siasa na Biashara kubwakubwa)
  kumbuka wimbo wa arrawa na magari ya kujiboost Lema kaja na Hummer ina button @ mahali

  Nikianza na
  WAMACHAME (Business entrepreneurs)


  Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi 'kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu'
  Basi kule Machame chakula cha ****** au nimesemaje? Kufanya kaz... ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP!

  Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongeza ndio uendelee.
  Yahee, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!

  WAKIBOSHO (Specialized bandits)

  Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi
  'Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo.
  Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia ' Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!
  WAURU (The Elites)
  Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu!
  Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: 'Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.
  Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege, Kazi wanazopendelea ni ufundi saa


  Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!
  WA OLD MOSHI (The Mechanics)!
  Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.
  Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi! Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)
  WAMARANGU (The handsome liars)!
  Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo la 'jinsi ya kudanganya' shule zote za primary kule Marangu.
  Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu. Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba inamshinda ni jambo la kawaida.
  WAROMBO: (The salesmen)!
  Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!
  Wanawake tunawaita 'KUBOTA' aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970.
  Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!
  Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.

  Ushauri wa bure!
  Rafiki yangu kwenye Siasa za Vyama uamue mwenyewe lakini kwa ushauri mwepesi mwepesi bora unyamaze ukikaa kwenye vijiwe Nyama choma, vya fundi viatu au fundi saa usikilize Chama kinachoshabikiwa usiweke neno Chaguo ni lako.
   
 2. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,956
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wivu tuu huu kwa wachaga
   
 3. k

  kisimani JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya tumesikia tathmini
   
 4. k

  kisimani JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mimi wachaga nawafananisha na waisraeli, nchi ndogo output balaaa, blessed land kilimanjaro, chek sasa hivi kila mtu anaoa na kuolewa na mchaga sehemu za mijini kisa wameenda shule
   
 5. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,736
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Leo mchana nimeangalia kipindi cha bunge ... katika top 20 ya best students in Tz kwenye form six exams .... seven are the Great CHAGGA
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,546
  Likes Received: 3,474
  Trophy Points: 280
  Tuacheni wachagga jamani khaa.. kila siku tuu sisi sisi..wadscussini na Wakwere.
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 24,546
  Likes Received: 3,474
  Trophy Points: 280
  Ni miaka yote ndo inakuaga hivyo ni kawaida yetu.
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Proud to be Chagga
   
 9. K

  Kihodombi Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Simple minded person
   
 10. majuto mperungu

  majuto mperungu JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 347
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kweli mkuu waCHaGa tuko juu
   
 11. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseee baba yangu najivunia kuwa mchage,,wakwere wamakonde vip,,,

  najivunia kutengeneza na kunywa mbege

  matifi yafo .....mbikoyo
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,730
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Japo lafudhi ni moja, wana tabia moja
  Kuna watu watu wa marangu na kuna wa mamba.
  pia kuna watu wa mwika.
  Japo mara nyingi wengi hupenda kujiita wa marangu, ila kuna wamarangu na wamamba
   
 13. h

  hacena JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 620
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mti mzuri utalengwa mawe
   
 14. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu umeniacha hoi. Kabati wa Mbeho!!Ngoja niwazingue majirani hapa. Kwa jinsi ninavyowaona hapa warombo uko 100% sahihi...jamaa wanapiga mzigo balaa halafu hata wakienda kwenye sherehe na kuzipiga pombe kisawasawa na kurudi usiku wa manane, kesho yake ahsubuhi na mapema wako kwenye maduka yao wanapiga kazi. Hapa hata muhindi kaachwa mbali.
   
 15. isambe

  isambe JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 1,955
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  Mbona umewasahau wale wa URU KISHUMUNDU?
   
 16. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chaggas run Tz!
   
 17. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,778
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180
  nimeamini Wachagga wengi humu JF na kweli wanajiamini kwani wanaweza kuingia fani zote kuanzia
  • Urais,
  • Ufanyabiashara
  • Hata University zao ziantoa kozi nyingi
   

  Attached Files:

 18. H

  Hute JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,096
  Trophy Points: 280
  nimefurahi hapo kwa warombo,,...kwasababu mimi mwenyewe ni mrombo....hahaha. kweli tunachapa kazi..wahindi hawaoni ndani aiseee. njoo kule kimara utatukuta tupo wengi, ipo hadi mitaa yetu kabisa...acheni uvivu, fanyeni kazi mtapata mafanikio kama ya wachaga.
   
 19. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 832
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  huu ni mjadala ama ice break?
   
 20. pitbull

  pitbull JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Thank god am chagga!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...