Chadema’s Defence | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema’s Defence

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyaturu, Mar 2, 2011.

 1. N

  Nyaturu Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema’s Defence

  By Frederick Katulanda, The Citizen Reporter, Dar es Slaam, Tanzania, Tuesday, 01 March 2011

  Kahama - The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) came out fighting yesterday describing President Jakaya Kikwete’s criticism of the party’s demonstrations and rallies as signs of desperation on the part of the government. Addressing a number of rallies in Shinyanga and Kahama districts yesterday, the Chadema national chairman, Mr Freeman Mbowe, said the era of threats was long gone and that President Kikwete should concentrate on solving the numerous problems “created by his leadership”.

  Insisting that the President had failed to solve major problems facing Tanzanians, Mr Mbowe said he was ready to show him how the country could be run successfully if given the chance.

  “Let him give me the chance to show him how to manage the country... Chadema is able to run this country successfully because Tanzania has abundant resources which, if properly used, can improve the economy beyond its current status,” he noted, adding: “We have given the President nine days to solve the problems; if he cannot do it then let him give us the mandate and we will show him how the problems can be solved within the given timeframe.”

  Addressing a rally in Isaka, Mr Mbowe said Chadema was not going to be cowed by President Kikwete’s harsh words as what the party was doing was within the law.

  There was a huge turnout at Kahama town to receive Mr Mbowe and his team when they arrived. The demonstrators walked for about five kilometres to the sports stadium where the Chadema leader addressed a rally before he left for Bukombe. However, he was stopped at Masumbwa where he addressed another rally.

  “President Kikwete has suggested that the proper way of changing the government is through elections and as such we should do our work in Parliament. I am telling him that we will not go to Parliament because whenever we raise pertinent issues in the law-making organ they heckle us because they have a numerical advantage. Because they steal elections, our only hope is to use people’s power... We have been in only three regions and he has started to lament?” he wondered.

  Mr Mbowe urged wananchi to stand firm and demand their rights, noting that it was because of their extreme leniency that the CCM government had failed to deliver services to them. Giving an example of the rise in sugar prices, he said the government started to look into the issue after Chadema condemned the increase.

  Elsewhere, there were mixed reactions to the President’s speech, which was delivered on Monday evening, with some noting that Mr Kikwete was justified to rebuke Chadema.

  Others, however, hit at the President noting that Chadema as a political party had the right to organise demonstrations, especially after the government failed to improve the lives of a majority of Tanzanians as it had promised in the past.

  They censured President Kikwete for trying to use his power to threaten wananchi for demanding their basic rights, something which they said was undemocratic.

  In his televised address, the President urged the public to ignore the opposition party and focus on safeguarding the country’s peace. He stated that Chadema’s move to organise rallies around the country was bent on disrupting peace.

  Dr Azaveli Lwaitama of the University of Dar es Salaam said he was not surprised by President Kikwete’s statement as he was using old tricks of discouraging demonstrations by trying to win the support of citizens’ through the issue of peace. Dr Lwaitama argued that it would have not been a problem if Mr Kikwete had addressed the nation as the ruling party chairman, as his speech would have been regarded as a political stetement.

  “But since he made the address as the Head of State, his speech might be acted upon by the Police Force as an order from their Commander-in-Chief to block Chadema from conducting more rallies,” he said. He added: “That is where the chaos might begin... Because protesters do not carry weapons, I don’t think that Chadema’s demonstrations are aimed at disrupting peace.”

  The NCCR-Mageuzi national chairman, Mr James Mbatia, supported President Kikwete’s sentiments, noting that Chadema’s demonstrations could lead the nation into chaos.

  “Issues of national interest could be resolved through round table discussions and not demonstrations. Harsh statements in the ongoing demonstrations may plunge our country into chaos,” he warned.

  But in a quick reaction, the Legal and Human Rights Centre (LHRC) executive director Francis Kiwanga, said the government should not stop Chadema from demonstrating since that was their right.

  “The only thing that the government could do is to ensure a peaceful environment for demonstrations,” he said.

  But Prof Ibrahim Lipumba, the national chairman of the opposition Civic United Front (CUF) joined ranks with Mr Mbatia, noting that Chadema had ulterior motives behind the demos.

  Mr Lipumba said some of the statements made in the demonstrations could trigger unrest in the country.

  Additional reporting by Bernard Lugongo (Dar), Hawa Mathias (Mbeya) and Zulfa Mfinanga (Shinyanga)
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,203
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhh! CCM B! Miafrika ndivyo tulivyo! Wako radhi kukishambulia CHADEMA badala ya CCM wanaosababisha hali ya nchi kubaki nyuma kimaendeleo
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbatia na Lipumba wake wameshafulia kwenye uwanja wa siasa,bora hata Mrema bado anaweza kuchagulika!

  Kwa hiyo na maandamano "mfu" ya CUF kupinga malipo ya dowans yalikuwa na ajenda gani behind?
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Mbatia na Lipumba wanatakiwa kwenye gulio la mitumba!!!!!!

  Kama CCM, CUF na NCCR-Magezui ni vyama chenye wafuasi wengi, basi hawana haja ya kuiogopa kuwa CHADEMA italeta vurugu kwavile maandamano ya CHADEMA ni wafuasi wa CHADEMA tu. Kwa msingi wa wingi, wachache hao wa CHADEMA hawewezi kuharibu amani hata siku moja
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  huu uprofu mwingine nao bana......
  nahisi alikuwa anakariri tu na kujibu mitihani, kwenye uprofu aliiba ya mtu.....
  au ni kasoma bila kuelimika huyu...
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,653
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Hili bwabwa limepata pa kusemea.Hivi NCCR hakuna watu wenye busara wakamshauri mwenyekiti wao kuwa matamshi na misimo yake inakidhalilisha chama.
   
 7. Mutwale

  Mutwale Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna sababu ya kupoteza muda kujadili hawa akina Mbatia na Wenzake, maana hawa ni washirika wa CCM, hivyo kila jambo ambalo litasemwa na CCM wao wataliunga mkono maana ni washirika wao wa Kisiasa.

  Keep the Heat CHADEMA nguvu ya UMMA iko nyuma yenu.
   
 8. b

  bob giza JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nccr kilishakufaga kitambo mbona..kwani bado kuna chama kinaitwa nccr??huyo jamaa anafurahisha domo tuu
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Wanasiasa uchwara wasiokua na msimamo binafsi ni sawa na rafiki zetu wa siku nyingi wanaotoa huduma kwa tusio na jiko...si wa mtu mmoja! Leo watajifanya wako nawe saaana kesho wanayemponda akiwa juu wanajipitisha! Tushawajua na hila zenu...Kafulila,Mbatia na wenzenu ombeni CCM itawale milele...kwa maana kiama chenu kisiasa ni pale wenye nchi tutakapoamua kwamba imetosha!
   
 10. M

  Mindi JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Apr 5, 2008
  Messages: 1,393
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Mkuu, nadhani tumtendee haki kidogo Prof. Lipumba. Ni kweli Prof katika fani yake ya uchumi anao uwezo wa kuchambua na kutoa mapendekezo ya kufaa. lakini katika siasa, mmmhh... nadhani hapo ana matatizo. misimamo ya CUF ya hivi karibuni inaonekana haijafanyiwa kazi vya kutosha. wameingia in uncharted waters, kuwa na ndoa na chama tawala upande mmoja wa muungano wakati upande mwingine hakuna! tena kilichoasisi ndoa hiyo ni "articles of the union" za Seif na Karume, ambazo ni siri! kwa hiyo unaweza kuona kabisa kwamba Lipumba anazidi kuwa irrelavant siku baada ya siku. Seif ametulia tuli huko Zenj, hana interest kabisa na mambo ya sehemu hii muhimu ya muungano. amekata kiu yake ya siku nyingi, kwisha shauri. how does Lipumba re-define himself in this current situation? hiyo ni changamoto kubwa katika hali tulivu. Lakini ni changamoto kubwa zaidi katika mazingira ya hali tete ya sasa hivi, iliyojaa mawimbi ya mabadiliko katika Afrika kaskazini, hali ngumu ya maisha Tz, na CCM yenyewe kupoteza dira, asemavyo Butiku. nadhani kisiasa amefulia na anayo kazi ngumu ya kujinasua hapo. sina hakika kama anajua cha kufanya...
   
 11. Mutwale

  Mutwale Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna sababu ya kupoteza muda kujadili hawa akina Mbatia na Wenzake, maana hawa ni washirika wa CCM, hivyo kila jambo ambalo litasemwa na CCM wao wataliunga mkono maana ni washirika wao wa Kisiasa.

  Keep the Heat CHADEMA nguvu ya UMMA iko nyuma yenu.
   
Loading...