Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kisendi, Jan 6, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mimi hoja yangu je Said Mwema baada ya kutoa tamko alitoa barua ya maandishi kupinga na kama hakuna na tayari chadema walikuwa na barua kulingana na maelezo ya Dr Slaa.
  Kulikuwa na haja ya Askari kuwashambua na je wangewaacha wangefanya nini??

  Kweli kama wana kosa basi waadhibiwe na kama hawana kosa basi Waziri husika aachie ngazi.
   
Loading...