CHADEMA, Zitto siyo adui yenu

Mlifata nini kwny kikao cha TCD ambacho mnajua Zitto ni mwenyekiti na mlipeleka makabrasha kwa Mangula kwa kasababu gani?

Kuna masharti yoyote yaliwekwa kuhudhuria mkutano wa TCD? Makabrasha aliyopewa Mangula ni ili aache upotoshaji na sio kusaidia lolote. Yeye mwenyewe Mangula kalishwa sumu na hajafanya lolote, ndio atamtea Mbowe? Mzee unakwama wapi?
 
Back
Top Bottom