CHADEMA zingatieni ujumbe huu

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.

Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.

Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.

Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.

Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
 
kwanini usijikite kuishauri ccm na jumuiya yako maana imekosa mweleko?
Mungu ibariki Tanzania
 
Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo. Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele. Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country. Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm. Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Kawashauri ma ccm wenzako
 
Hayo yote umewauliza maccm waliyapata vp? Kundi la wezi na waporaji miradi yote waliyonayo ilikua mali za serikali wakataifisha na sasa ni mali za ccm.

Pili ni ubunifu upi ambao unataka ufanyike ambao ccm haitauhujumu? Angalia tu hata kupitia miji ambayo upinzani imetawala jinsi serikali inavyoingilia kazi na kudhoofisha upinzani, mfano mzuri ni hospitali iliyokuwa ijengwe arusha story yake unaijua... hayo ndo unataka upinzani uendelee kufanyiwa
 
Hawa Machadema mara nyingi yanaishi kwa utapeli, matusi na uwongo. Mimtu imebaki kubadili gia angani, kuropoka na kuipinga Serikali iliyopo madarakani. Ni watu wa sarakasi bila faida. Na hapa yamekuja kupinga uzi huu unaowapa Ukweli wa mambo.
Endeleeni kuzungusha mikono!!! Makamanda Piiiipoooooooooz........ Mabadilikoooooo Lowassaaaaa!!.... Lowassaaaaaaa mabadilikoooooo! '!! Pipoooooooozzzzz!
 
Umewashauri vema Sana Mr Lusinde.
 
Mbona mpo toka Uhuru 1961 lakini maisha bado duni

hata nikikuliza una kuku wangapi utasema huna hata moja japo ardhi ya tanzania ni kubwa sana na mahali pa kufugia ni pakubwa!! ulitaka CCM ikujengee kibanda cha kuku?
 
Kwanza kabisa napenda kuwatakia Jumapili njema wana Great thinkers. Pia mimi ni UVCCM lengo la kuanzisha uzi huu ni kutoa ushauri kwa CHADEMA na Vyama vingine vya Upinzani wafanye mambo ambayo yana manufaa kwa wananchi na sio vinginevyo.

Hapo wakishirikiana na Serikali iliyopo madarakani katika kuleta maendeleo mbalimbali kwa wananchi katika Nchi yetu ya Tanzania. Nimeandika uzi huu nikiwa kama kijana mwenye kuipenda nchi yangu ikisonga mbele.

Mara nyingi vyma vya Upinzani hasa wale Chadema wao mara nyingi hupinga hata mambo ya msingi ya kulijenga Taifa letu. Hii haitaweza kutuweka katika uchumi wa kati. CCM wanajaribu kujenga lakini wenzetu wapinzani kazi yao ni kupinga as if they have mandatory in this country.

Please nawaomba sana wapinzani tuunge mkono juhudi zinazofanywa na Chama cha mapinduzi na Serikali iliyopo madarakani. Jaribuni hata kubuni Shule, Kiwanja au NGO's kwa jina au brand ya Chadema. Maana naona viwanja, Shule Ccm, Soko Com na vingine kibao taifa hili ni vya Ccm.

Sijawahi kusikia hiki ni Chadema. Hivi nyie sio wabunifu mpaka muwe hamna kitu na kazi yenu kuu ni kupinga tuuuu? Zingatieni ushauri wangu. Naomba tena mzingatie ushauri wangu. Mnafikiri kama Chama kubwa Ccm kitakapoamua kupumzika kuwa madarakani nyie Ukawa na Chadema yenu mtaanzia wapi kuliongoza Taifa hili la Tanzania? Kusuka au kunyoa ni maamuzi yenu.

Ahsante sana kwa kusoma l
Mungu tubariki sisi sote na Taifa letu.
Mbariki pia na Rais wetu Kipenzi Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Mpenzi wako wewe..
Dangote anaondoka unatuletea mambo ya upenzi sisi..wewe vipi wewe. "!
 
Asante sana kada mwenzangu wa Chama pendwa....sasa hawa nyumbu badala ya kukushukuru watajikita kutoa mapovu.....Naipenda CCM mpaka naumwa.
 
Back
Top Bottom