BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,507
- 11,883
picha itakusaidia nini?tupe wewe picha wakati UNAMSAFISHA NYONI NA JAIROTunaomba picha tuone nyomi basi mkuu
picha itakusaidia nini?tupe wewe picha wakati UNAMSAFISHA NYONI NA JAIROTunaomba picha tuone nyomi basi mkuu
Tundu Lissu alishasema Zanzibar siyo muhimu kwa Chadema kulikoni tena.
Tunaomba picha tuone nyomi basi mkuu
Lukosi , kuna mada hapa ya shule ya msingi ya Bagamoyo sijakuona wala RITZ ila huko mpo au ule uzi hujauona ?Njoo kule tusaidie kuelewa mambo ya BRN
Hawa jamaa ukiwapa ukweli lazima watokwe povu, huo mkutano utakuwa ulihudhuriwa na watu watatu tu
Tundu Lissu alishasema Zanzibar siyo muhimu kwa Chadema kulikoni tena.
Thubutu???!!mbona hamna picha mkuu
NYOTA MPYA YA UHURU WA ZANZIBAR Imeanza kuwaka kupitia CHADEMA Wanzanzibar acheni siasa za mazoea kipeni ushirikiano mpate mnachotaka.
Alisema hawahitaji kura za zanzibar hili kwenda ikulu. sasa hivi wanapingana na tamko la mwana sheria wao.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo - CHADEMA kimezindua rasmi kanda ya Zanzibar ya chama hicho.
Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Hamad Yusuf.Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Jamat Khan mjini Unguja.
Viongozi mbalimbali wa mikoa, wilaya,matawi na Makamanda wa chama hicho upande wa Zanzibar walihudhuria.Pia walikuwepo wabunge wa viti maalum Zanzibar.
Akizungumza katika uzinduzi huo Naibu Katibu Mkuu huyo aliwataka wanachama wa chama hicho kushikamana na kuzidi kuisimika Chadema Zanzibar.
Pia Kiongozi huyo aliwamiminia sifa viongozi wakuu wa chama hicho Freeman Mbowe na Dr Wilbroad Slaa kwa kazi kubwa wanayofanya huku akisema viongozi hao wamekuwa kama Nembo ya chama hicho.
Uzinduzi huu wa Kanda ya Zanzibar umefanyika baada ya kukamilika zinduzi za Kanda za Tanzania Bara.
cdm hiyooo....white house in 2015