CHADEMA yazidi kuteketea Kanda ya Ziwa, kada maarufu abwaga manyanga

Bia yetu

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
6,923
8,314
20200601_135154.jpg
Pichani ni mwenyekiti wa Chadema mkoa wa simiyu aliyebwaga manyanga anaitwa Singibala akipokelewa na viongozi wa CCM

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa simiyu amekitosa rasmi chama hicho na kujiunga na chama cha kizalendo CCM

Moja ya sababu kubwa aliyoianisha ni kuwa amechoshwa na tabia mbaya za viongozi wa juu wa CHADEMA kupinga maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli, pia ubadhirifu wa fedha za Chama zinazotafunwa na viongozi wa juu

Amesema huu ni mwanzo tu,amehaidi kuifuta CHADEMA Simiyu kwani anajua mipango miovu aliyokuwa akitekeleza alipokua Chadema
 
View attachment 1465514 Pichani ni mwenyekiti wa Chadema mkoa wa simiyu aliyebwaga manyanga anaitwa Singibala akipokelewa na viongozi wa CCM

Ama kweli Mbowe bado hajaelewa makosa yake!
 
Ningeshaangaa kama kuna mtu bado yuko CDM huko kanda ya ziwa, maana mzee kishatuanzishia ukanda. Tutaona kwenye uchaguzi
 
Back
Top Bottom