CHADEMA yawazidi CCM mbinu za kisiasa

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
IMG_3016.JPG
Pinda%2Bna%2BLowasa.jpg
 
Candidscope!!kwa mawazo ya hivi ya watu kama ...ww na vichwa vya habari vya hivi.... ni kweli miaka50 ijayo Tanzania itakuwa inapaa
 
2.jpg
wasira na mboye ana kwa ana.jpg

Na hii je? Nimepata maono sasa hivi Mheshimiwa Rais anao watu wengi tu wanaomzunguka lakini wapo karibu yake kwa mujibu wa mazoea ya kuzoeleka lakini si kwa maana ya kuwa kikolezo cha ushauri nasaha tunaotaka. Inatia huruma kwa mwenye kusoma picha wa viongozi wetu na kama mtu umepitia kidogo taaluma ya saikoloji.

Anatakiwa apokee ushauri wa kubadilisha safu ya wasaidizi wake vinginevyo watamzidishia lundo la fikra zisizofumbulika.
 
Ilikuwa ijumaa karim
Pinda%2Bna%2BLowasa.jpg

Labda Speaker Makinda aliandaa iftari kwa wabunge ikiwa moja ya tafrija ya kuhitimisha kikao cha bajeti cha mwaka huu, maana naona speed ya kufuturisha mwaka huu kwa viongozi wa serikali si ya kawaida.
 
Yupi kati ya hawa wanasiasa kwenye picha hizi mwenye furaha ya kweli na nani yu katika lindi la mawazo? Kuongoza nchi si lele mama Nyerere alisema, tunahitaji kuungana kumwomba Mungu asaidie kuwapa nguvu maridhawa wakiongozwa na busara yenye kujawa hekima katika mawazo na matendo yao.
 
si mbishi kama unavyofikiria, isipokuwa yeye ni sehemu ya mfumo uliomweka kileleni. usitegemee yeye kuwatosa bosi zake, lazima alinde heshima yao. wa kuweza kufanya uamuzi sahihi tena kwa kujali si maslahi ya mfumo tawala uliopo, bali kwa kujali uzalendo na kutanguliza utaifa ni WATANZANIA TU, full stop!!!!!!!!!!!!!
 
si mbishi kama unavyofikiria, isipokuwa yeye ni sehemu ya mfumo uliomweka kileleni. usitegemee yeye kuwatosa bosi zake, lazima alinde heshima yao. wa kuweza kufanya uamuzi sahihi tena kwa kujali si maslahi ya mfumo tawala uliopo, bali kwa kujali uzalendo na kutanguliza utaifa ni WATANZANIA TU, full stop!!!!!!!!!!!!!

Tatizo la viongozi waliolelewa kwenye mfumo wa kijeshi wanajiona wako juu ya kila mmoja na juu ya sheria ni vigumu kushaurika. Nakumbuka enzi za JKT we fanya kama kipofu vuna mahindi yote yasionekane shamba, hutaulizwa kama ghalani yako au la ingwa kurahisisha kazi bora kutua porini ndege wafurahi ili mradi nimemridhisha afande kwamba shamba lote limevunwa.
 
Back
Top Bottom