Uchaguzi 2020 CHADEMA yawawekea pingamizi ACT-Wazalendo Kata ya Wazo na Kunduchi

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
3,590
8,474
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewawekea pingamizi wagombea udiwani wa ACT katika kata ya Wazo na Kunduchi.

Pia, huko Jimbo la ISIMANI, mgombea Ubunge wa CHADEMA Patrick Olesosopi kamuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa ACT-Wazalendo ndugu Haonga kuwa hajui kusoma na kuandika.

Hii ndio gharama ya demokrasia.
 
Wapumbavu watakimbia sana mabarabarani. HAKUNA UPINZANI Tanzania. Kumbuka Zitonalipomtembelea Lisu nje waliyajenga
Wote hao ni ccm. Acha mabwege wakimbie wachache kwenye hizo movement wanakula.

Kuna kushinda hapo tena.
Mzee wa Kesi in the House.
Ngoja nile mhogo wa 100 kwa hawa wanauza angalau na kipande cha Nazi. Jam mbaya kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu
 
Screenshot_20200826-201106.png
 
Sioni kosa hapo, hivyo vyama viko huru kufanya maamuzi yao, hata kama vinajiita "vyama makini vya upinzani" haina maana ndio vibebane hata kwenye uozo, viendelee kuwa makini kwa kila kitu.

Zitto awaambie hao wagombea udiwani wake wakajitetee, sio kuwasiliana na Chadema for what?! kama itavyokuwa kwa madiwani wa Chadema Ubungo, msizunguke mbuyu.

Wacheni kulialia, hiyo ndio siasa ya demokrasia.
 
Lisu ni mjanja sana, wazo lake la mapingamizi limesababisha wanafiki ACT kufahamika rangi yao halisi
Sasa hapo wanafiki ni nani, jee mmeshaanza kutibuwana, kawaida yenu upinzani mnashikana na kusukumana wenyewe, na baadaye CCM inapata tambarare
 
Sioni kosa hapo, hivyo vyama viko huru kufanya maamuzi yao, hata kama vinajiita "vyama makini vya upinzani" haina maana ndio vibebane hata kwenye uozo, viendelee kuwa makini kwa kila kitu.

Zitto awaambie hao wagombea udiwani wake wakajitetee, sio kuwasiliana na Chadema for what?! kama itavyokuwa kwa madiwani wa Chadema Ubungo, msizunguke mbuyu.

Wacheni kulialia, hiyo ndio siasa ya demokrasia.
Hakika mkuu.
 
Back
Top Bottom