Chadema yawatakia Waislam wote Heri ya Sikukuu ya Eid El Fitri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,643
218,099
Eid%20Al%20-%20Fitr%20Mubarak!%20(%201080%20X%201080%20).jpg

Salamu hizi za Chadema zimewasilishwa na Mwenyeliti wa Chama hicho Mh Freeman Mbowe .

Freeman Mbowe ambaye pia anajulikana kama Ustaadh Aboubakar Mbowe huko visiwani Zanzibar , ametoa salamu hizo baada ya Waislam kukamilisha funga yao ya mwezi Mtukufu wa Ramadhan , ukifuatiwa na Sherehe za EID ELFITRI
 
View attachment 2209159

Sawa ila Eid ya Kesho sio sahii Eid Ni leo
 
Serikali itumie siku mhimu ya leo kuutangazia umma kuwa Mbowe siyo gaidi na hajawahi kuwa gaidi.

Na iombe msamaha kwa watanzania iliyotaka kuwaaminisha kuwa mbowe ni gaidi.

"Muungwana akivuliwa nguo huchuntama" Wahenga (sijui kama nimepatia maana mimi siyo mswahili mzuri).
 
Hakika
 
🤣🤣🤣🤣
 
Chadema bhana 😁😁 kwan haya mambo c yameshaisha au alikuwa ndani kwa kesi ya unywaji wa konyagi.?
 
Serikali itumie siku mhimu ya leo kuutangazia umma kuwa Mbowe siyo gaidi na hajawahi kuwa gaidi.

Na iombe msamaha kwa watanzania iliyotaka kuwaaminisha kuwa mbowe ni gaidi.

"Muungwana akivuliwa nguo huchuntama" Wahenga (sijui kama nimepatia maana mimi siyo mswahili mzuri).
Mkuu kwan si alisamehewa.?
 
Hapana mkuu, tukubali ukweli kuwa alisamehewa.
Pamoja na kuwa hakuomba msamaha ( hatuna uhakika )
Hakusamehewa , ila serikali ilipata kibano cha aibu baada ya mashahidi wakiongozwa na Kingai kula za uso mahakamani
 
Mkuu kesi ilipofika, ilikua tayari ishakuwa mbaya kwa kaka either alisingiziwa au la.!

Tumshukuru Mama aliupigia mwingi, ingekuwa Jiwe ( RIP ), tungekua tunaongea mengine
 
Wadanganye wajinga sana !! Ule Ushahidi wa akina Swilla na muuza Mbege ndio kesi ile !
 
Back
Top Bottom