Elections 2010 Chadema yawashukuru wana wa moshi

Popompo

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
409
91
Jumapili ya tarehe 5 dec 2010 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wana wa moshi baada ya mh mbuge wa moshi mjini na madiwani wake kuandaa party ya shukrani kwa kila kata.ilikuwa imetulia sana.source me mwenyewe!
 
Tuhabarishe zaidi jinsi livyokuwa.Nini kilifanyika na mwitikio wa wananchi.Ikiwezekana weka picha za matukio muhimu kama haya ya kulikomboa taifa.Moshi wao wameshaona hilo na ndio maana wamechagua chadema.
 
tupo pamoja ndugu zetu wa Moshi,TUENDELEZE HARAKATI HIZI ZA KUJIKOMBOA,mwenye macho na aone na mwenye masikio na asikie,na anayedhani haiwezekani basi ameshindwa kusoma alama za nyakati na asubiri kuchanganyikiwa kwa kutokukubali matokeo/mabadiliko,si tumejionea watu mara wang'oa vitasa,wengine wanatoa mapazia ili mradi tu ni kuchanganyikiwa ama kweli lilikua anguko lililo kuu.
 
Yah ni kweli na Mbunge alitembea kila kata na aliongea na wananchi na kuwashukuru kwa kumchagua tena na kumpatia madiwani wengi na akawapa sera kidogo na kuondoka ilipendeza sana no fujo no nini ni kula kunywa na kucheza muziki. Ilipendeza ila kata moja kuna diwani alifiwa na baba yake mchana huo lakini mambo yalienda vizuri.
 
Mngetufanyia haki sana kama mngeweka na picha tuone mambo yalivyokuwa
 
Back
Top Bottom