Chadema yatoa rambirambi kwa familia ya marehemu Ismail

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
WanaJF
Leo uongozi wa chadema mkoa wa Arusha umetoa hundi ya milioni tano kwa familia ya marehemu Ismail,mtakumbuka kuwa mara ya mwisho wakati wa kuwakabidhi rambirambi hii familia hawakufika hali iliyopelekea kukabidhiwa kwa familia ya Denis
Baada ya hii familia ya Ismail kujipanga leo wamefika na kukabidhiwa hundi yao,iliyokabidhiwa kwa mke wa Marehemu bi Asia,marehemu alikuwa na watoto wawili hivyo familia imekubaliana mchanganuo wa hizo ela kama ufuatavyo
Kila mtoto atapata 1.5m
mke wa marehemu 1m,na baba mzazi wa marehem 1m.
 
Back
Top Bottom