CHADEMA yatishia uhai wa CCM DSM, nyomi ya watu mkutano Buguruni

T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
987
Chama cha demokrasia na maendeleo leo kimefanya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la buguruni mataa ( chama/sheli) ambapo makamanda walitema cheche kwa kukemea ufisadi wa fedha za escrow huku wakitaka mapendekezo ya bunge yatekelezwe kama yalivyo.

Picha hapa chini ni nyomi ya watu waliofurika kusikiliza mahubiri ya makamanda.
 
Attachments

 • image.jpg
  image.jpg
  478.4 KB · Views: 1,925
 • image.jpg
  image.jpg
  486.5 KB · Views: 1,565
hahahaha juzi nilipita zangu na gari mitaa ya Temeke huku kwa Azizi Ali hapa kushushia Pirle huo mkutano wa UKAWA ni kichekesho?
 
Watu wameamka, hawadanganyiki tena mkuu, sasa hii ni hali halisi ya jijini dsm, vipi shinyanga vijijini.
 
chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo kimefanya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la buguruni mataa ( chama/sheli) ambapo makamanda walitema cheche kwa kukemea ufisadi wa fedha za escrow huku wakitaka mapendekezo ya bunge yatekelezwe kama yalivyo.

Picha hapa chini ni nyomi ya watu waliofurika kusikiliza mahubiri ya makamanda.

hivi madabida amewahi kuitisha mkutano akapata hata watu wanne ?
 
na mimi ningekuwa kama hao wenzako ningeku2kana, lkn hapana! najua 2metofautiana uwezo wa kufikiri,lkn nikujulishe mtoa mada mim binafsi na2mia jf kwa kupata habari na huwa inanisaidia sana,cjafurahia jinsi ulivyoandaa heading yako na hizo picha ulizoweka, ni dhahili unafanya joking! lkn lipo jukwaa la joking, ningekushauri uwe una2mia jukwaa hlo kama nia yako ni kujoke na si kutoa taarifa! nadhan umenielewa kaka/dada. ahsante na naomba unisamehe kwa kuchangia bila kuku2kana kwani dhamira yako nakuwa cjaifikia...!!!!
 
Picha imepigwa wakati wanaanda mkutano. Mtoa mada kapata anaofanana nao kwani wameshindwa hata kujua hata hiyo high table itakosaje watu maalum?
 
Mtu anahutubia wee unasubiri maandalizi? Waliokuwa high table wamejigeuza wasikilizajibkumsitiri kamanda anayemwaga sera asihitube magari na wapita njia
 
Picha imepigwa wakati wanaanda mkutano. Mtoa mada kapata anaofanana nao kwani wameshindwa hata kujua hata hiyo high table itakosaje watu maalum?
Angalia hii picha kwa makini usikurupukie mambo
 
Attachments

 • image.jpg
  image.jpg
  486.1 KB · Views: 449
na mimi ningekuwa kama hao wenzako ningeku2kana, lkn hapana! najua 2metofautiana uwezo wa kufikiri,lkn nikujulishe mtoa mada mim binafsi na2mia jf kwa kupata habari na huwa inanisaidia sana,cjafurahia jinsi ulivyoandaa heading yako na hizo picha ulizoweka, ni dhahili unafanya joking! lkn lipo jukwaa la joking, ningekushauri uwe una2mia jukwaa hlo kama nia yako ni kujoke na si kutoa taarifa! nadhan umenielewa kaka/dada. ahsante na naomba unisamehe kwa kuchangia bila kuku2kana kwani dhamira yako nakuwa cjaifikia...!!!!
Mkuu kwa hiyo huyu anayehutubia humu ana joke? Kwanini watz hamuupendi ukweli? Kwanini mnapenda kulaumu na kuita watu majina mabaya pindi anapousema ukweli au kuuanika hadharani?
 
na mimi ningekuwa kama hao wenzako ningeku2kana, lkn hapana! najua 2metofautiana uwezo wa kufikiri,lkn nikujulishe mtoa mada mim binafsi na2mia jf kwa kupata habari na huwa inanisaidia sana,cjafurahia jinsi ulivyoandaa heading yako na hizo picha ulizoweka, ni dhahili unafanya joking! lkn lipo jukwaa la joking, ningekushauri uwe una2mia jukwaa hlo kama nia yako ni kujoke na si kutoa taarifa! nadhan umenielewa kaka/dada. ahsante na naomba unisamehe kwa kuchangia bila kuku2kana kwani dhamira yako nakuwa cjaifikia...!!!!
Imekuchomae
 
Ccm wanajulikana kama wezi ndani ya nafsi za wa Tanzania bila wizi wa kura ccm hawawezi kwenda kokote
 
Chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo kimefanya mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa eneo la buguruni mataa ( chama/sheli) ambapo makamanda walitema cheche kwa kukemea ufisadi wa fedha za escrow huku wakitaka mapendekezo ya bunge yatekelezwe kama yalivyo.

Picha hapa chini ni nyomi ya watu waliofurika kusikiliza mahubiri ya makamanda.
Wewe unajiita T2015CCM, hii inamaana hauwezi kuleta hoja huku ya kuisifu CHADEMA, bali uchafu tu ili uichafue CHADEMA, ila mimi nakwambia ukweli mtupu huku mitaani tumesha ipoteza ccm kabisa mimi niko eneo ambalo ccm walisha shindwa na tupo tayari kuwarudisha wajumbe na mwenyekiti wa upinzani kuliko hawa wazee wa ccm,wewe kama unaishabikia ccm liko tatizo akilini mwako.
 
Back
Top Bottom