Elections 2010 Chadema yatetea jimbo la Karatu

MTOKAJASHO

Member
Oct 22, 2010
12
0
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.
 
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.

It was expected, kama Pemba inavyojulikana ni ya CUF. na Bagamoyo ya CCM.
 
Habari zilizotufikia hivi punde chadema yapeta Karatu... more details to come mitaa ya karatu ya zizima kwa vifijo. Kura za urais Dr slaa yupo juuu sana.

Ahsante sana kwa habari hizi zenye nguvu na matumaini kwa Wa-Tanzania wapenda mabadiliko.
 
Wala sishangai mkuu, ni kama kumshangaa mzungu ulaya si ndo kwao? Wala sikuwa na wasiwasi!
 
weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa karatu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mapinduzi juuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Karatu hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! :yield:

oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:rip::rip:ccm
 
bagamoyo lazima wampe jk, aliwachimbia vyoo viwili for 1.4bil. tehehehehe
 
Sina neno zaidi ya kumshukuru Mungi!
Dr Slaa...suti yangu ipo tayari kwa uapisho wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom