CHADEMA yatangaza uchaguzi wa kujaza nafasi za waliotimuliwa Bawacha

Ni uminyaji wa demokrasia ndani ya Chadema.
Bila kusikilza rufaa unakwendaje atua moja mbele.
kimsingi mbowe ameona ile rufaa wakina mdee watashinda,na Kama wakina mdee watashinda Mana yake,bado ni wanachama halali,na Kama hivyo,watakuwa bado nyazifa zao ndani ya cdm ni halali,ikiwa ni hivyo Basi itamlazimu mbowe atafute sababu yenye nguvu itakayo watia hatiani akina mdee na hatimaye kuwavua uanachama au kuwavua kwenye nyazifa zao au vyote kwa pamoja ndani ya cdm,na kwakuwa haya Mambo yanategemea kiasi gani utacheza na vifungu vya sheria lolote laweza kutokea.hivyo Basi ile rufaa ndo kete pekee ya mbowe ,na pia kete pekee kwa kina mdee.sasa hapo ndo akili kukichwa.mbowe ameamua aicheze hii kete mapema,hapa inamaana mbowe ameingiza kingi 2,ambazo kimtazamo zimewabana wakina mdee,yaani anakingi ya rufaa ambayo bado iko pending,na anakingi ya kuingiza uongozi mpya .hapo Sasa kete moja kwa kina mdee vs kingi 2 kwa mbowe.
 
Baraza la wanawake wa Chadema ( BAWACHA ) , limetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujaza nafasi za Wasaliti waliotimuliwa ndani ya Chama wakiongozwa na Halima Mdee .

Fomu za Kugombea nafasi hizo za uongozi wa Bawacha Taifa zinapatikana kwenye ofisi za Mikoa za Chadema , ofisi za Kanda zote na ofisi ya Bawacha Makao Makuu , DSM , ambapo wanawake wote wa Chadema wenye uwezo wanaombwa kuchangamkia nafasi hizo Muhimu na zenye heshima kubwa .

Form zinaanza kutolewa tarehe 25 february 2021 ambapo zoezi la kuchukua na kurejesha form hizo litadumu hadi tarehe 3 March 2021 saa 10 jioni .

View attachment 1711946

Mungu ibariki Chadema
Chadema imeishajifia muda
 
Hatudanganyiki na haya mambo yenuu.
 
kitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongozi
Kisheria wakirudisiwa unachama, basi wanakuwa wamerudishiwa na haki zao zote walizokuwa nazo kabla ya kuvuliwa uanachama, ikiwa ni pamoja na nafasi za uongozi walizokuwa nazo wakati huo. Subira huko BAWACHA ilihitajika.
 
kimsingi mbowe ameona ile rufaa wakina mdee watashinda,na Kama wakina mdee watashinda Mana yake,bado ni wanachama halali,na Kama hivyo,watakuwa bado nyazifa zao ndani ya cdm ni halali,ikiwa ni hivyo Basi itamlazimu mbowe atafute sababu yenye nguvu itakayo watia hatiani akina mdee na hatimaye kuwavua uanachama au kuwavua kwenye nyazifa zao au vyote kwa pamoja ndani ya cdm,na kwakuwa haya Mambo yanategemea kiasi gani utacheza na vifungu vya sheria lolote laweza kutokea.hivyo Basi ile rufaa ndo kete pekee ya mbowe ,na pia kete pekee kwa kina mdee.sasa hapo ndo akili kukichwa.mbowe ameamua aicheze hii kete mapema,hapa inamaana mbowe ameingiza kingi 2,ambazo kimtazamo zimewabana wakina mdee,yaani anakingi ya rufaa ambayo bado iko pending,na anakingi ya kuingiza uongozi mpya .hapo Sasa kete moja kwa kina mdee vs kingi 2 kwa mbowe.
.

..watashindwa rufaa, lakini watasamehewa, na kuamriwa kuomba unachama upya.
 
..wataambiwa waombe uanachama upya.
wanaweza kuomba upya iwapo rufaa yao itakataliwa, ila ikikubaliwa, maana yake ni kuwa uamauzi wa kuwavua uanachama ni batili na wanabaki kama wanachama na haki zao za uanchama kama ilivyokuwa mwanzo.
 
..hawatorudishiwa nyadhifa kwasababu nafasi zao zilijazwa wakati chama kikiwa hakiwatambui kuwa ni wanachama.
 
Hiyo wanaweza kupelekana mahakamani tena. Ni kusema kuwa kama chama hakimpendi kiongozifulani basi kinavunja katiba yao kwa kumvua uanachama ili kusudi nafasi yake apewe mwingine. CHADEMA ina njia nyingine za kisheria kuwavua madaraka viongozi wake, lakini hii siyo mojawapo.
 
..katiba ya chadema hairuhusu mwanachama kukishitaki chama chao.

..zitto alifukuzwa kwasababu alifungua kesi dhidi ya chadema.

..hawa kina mama nia yao ni ubunge, siyo nafasi za uongozi ktk chama.

..wanachotakiwa ni kuwa wapole ili waendelee kuwa wanachama wa chadema.
 
kitu pekee ambacho kinaweza kutokea wakishinda rufaa ( japo hilo halipo ) ni kurejeshewa uanachama , si kurejeshewa uongozi
Kwani mtu akishakuwa mwanachama moja kwa moja si anakuwa na sifa za kugombea uongozi? liangalieni hili mnajichanganya sana CHADEMA.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom