Chadema yatangaza mkutano mkubwa wa hadhara jijini Arusha!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Habari zilizopatikana hiv+punde kutoka+katika gari la matangazo ya chadema zinasema kesho j3 kutakuwepo na mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya NMC ikiwa ni pamoja na kumpokea kamanda (mb) wa arusha mjini kutoka magereza hata hivyo camission yote ya chadema itakuwepo usikose
 
mkuu naomba nipe progres ya chadema tangu baada ya bunge kwisha'hivi kweli tutaweza kuchukua nchi?kuna strategy zozote mpya ndani ya chama? au viongozi wameridhika na hali iliyopo?
 
mkuu naomba nipe progres ya chadema tangu baada ya bunge kwisha'hivi kweli tutaweza kuchukua nchi?kuna strategy zozote mpya ndani ya chama? au viongozi wameridhika na hali iliyopo?

Natamani iwe kesho. Maana nahisi kama kimeanza kunuka vile!
 
Back
Top Bottom