wewe kunyaWameanza chadema ma ushuzi yao
wewe kunyaWameanza chadema ma ushuzi yao
wewe usijeMbowe akafanye siasa zake Hai. Arudi jimboni kwake. Arusha tumechoka kupigwa mabomu ya machozi na mabomu mengine ya kweli kwenye mikutano ya Mbowe.
Utatangulia wewe kwanza ......Inabidi Polepole arudi kukiweka hiki chama makaburini milele, wahuni sana hawa jamaa. Samia asiwachekee hawa jamaa, ni maadui namba moja kwenye maendeleo ya nchi hii
Hawa vijana hawajifunzi tuUtatangulia wewe kwanza ......
Ziba pua kwa barakoa au uhame walipo kwa muda.Wameanza chadema ma ushuzi yao
Hama kwa muda hadi mkutano uishe.Nenda kasaidie kuvuna uyoga mbali na hapo.Mbowe akafanye siasa zake Hai. Arudi jimboni kwake. Arusha tumechoka kupigwa mabomu ya machozi na mabomu mengine ya kweli kwenye mikutano ya Mbowe.
Hawa wahuni wameanza vurugu zao tena,watu wapo na furaha za mama kuupiga mwingi mnatuletea vurugu zenu hiki chama sijui kitastaarabika lini utafikiri wanakula vya Arusha ni shida tupu..
Au labda CCM wameanzisha lugha yao wanayoidai ni 'kiSwahili-CCM' ambacho sisi wazungumzaji wa kiSwahili halisi hatukielewi ?Newspeak is the fictional language of Oceania, a totalitarian superstate that is the setting .... The political purpose of Newspeak is to eliminate the expression of the shades of meaning inherent in ambiguity and nuance from Oldspeak (Standard English)
Kamusi Ya Kiswahili Sanifu by Tanzania Institute of Kiswahili Research, 9780195723694
Ungeacha wenye akili kwanza.Wameanza chadema ma ushuzi yao
Kwani kwenda Byngeni, kama wanancgi wamekuchagua, huoni ni jambo jema?Movement zote za Chadema hazijawahi kufanikiwa, huwa mpo kimaslahi tu, hapo mnapambania katiba mara tume huru, lengo kuu Ni muende bungeni ,
Miaka yote mmekuwa hivo, JPM alipowapoteza kwenye ulingo wa siasa ,mmeanza Tena Movement uchwara
Operation sangara,M4C,Join The Chain, n.k hazijawahi kufanikiwa
Sidhani kama mnajua nini mnataka, mchakato wa katiba mpya ni dili viongozi wenu wanalitaka hili wapige hela, katiba hata ikiwa ya US na watu ni walewale is equivalent to nothing, hii ya sasa inavunjwa na both sides, nini kinafanyika?Mama ndio anazuia watu au vyombo vya dola, Cdm hatuna silaha, tutapata katiba mpya kwa msukumo huu huu.
Katiba mpya na TUMEHURU YA UCHAGUZI, kweli Zitto amewatangulieni sana chadema.Karibu sana
Tuliza makalio shughuli ndio kwanza imeanza.Movement zote za Chadema hazijawahi kufanikiwa, huwa mpo kimaslahi tu, hapo mnapambania katiba mara tume huru, lengo kuu Ni muende bungeni ,
Miaka yote mmekuwa hivo, JPM alipowapoteza kwenye ulingo wa siasa ,mmeanza Tena Movement uchwara
Operation sangara,M4C,Join The Chain, n.k hazijawahi kufanikiwa
Sawa tulia shughuli ndio kwanza imeanza.Wanamtisha chifu hangaya ili awaondoe covid 19. Wameshaona ngoma hii mahakamani hawatoboi. Mbiwe anataka aitwe tena ikulu ili apewe pesa. Ameshamgeuza huyu mama mtaji.
Enzi za JK walikuwa wakitoa matamko wanaitwa ikulu, kisha unaona kimya na wala hawajawahi kusema waliyokuwa wanazungumza wakikutana na Jk zaidi ya kuona picha wakinywa juice.
Kongamano la katiba mpya ni kwa ajili ya kujadili umuhimu wa katiba.Hawa wahuni wameanza vurugu zao tena,watu wapo na furaha za mama kuupiga mwingi mnatuletea vurugu zenu hiki chama sijui kitastaarabika lini utafikiri wanakula vya Arusha ni shida tupu..
Maadui namba moja ni ccm na genge lake waliotawala zaidi ya miaka 60 lakini mpaka leo Watanzania wananuka umasikini wa kutupwa.Inabidi Polepole arudi kukiweka hiki chama makaburini milele, wahuni sana hawa jamaa. Samia asiwachekee hawa jamaa, ni maadui namba moja kwenye maendeleo ya nchi hii
sI
Sidhani kama mnajua nini mnataka, mchakato wa katiba mpya ni dili viongozi wenu wanalitaka hili wapige hela, katiba hata ikiwa ya US na watu ni walewale is equivalent to nothing, hii ya sasa inavunjwa na both sides, nini kinafanyika?
I am not a juha, tuna katiba nzuri sana TZ, na haifuatwi, mnafanyaje nyie wakuu kuhakikisha hii katiba iliyopo inafuatwa? Makelele tuu mitandaoni, follow up nothingUnasema katiba mpya ni dili la viongozi ili wapige hela, halafu unasema hatujui nini tunataka? Kwahiyo kupiga hela sio kujua nini tunataka? Acha kutoa maoni ya fuata mkumbo, maana unaonekana juha tu. Tunataka hiyo mpya ili ivunjwe.
Chief umaskini wa TZ upo na uhusiano na umaskini wa bara la Afrika, we have to sit as a continent na kufikiri jinsi gani tunaliokoa bara letu, its not a matter of individual nationsMaadui namba moja ni ccm na genge lake waliotawala zaidi ya miaka 60 lakini mpaka leo Watanzania wananuka umasikini wa kutupwa.