CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

Mwigulu na aliyemteua wanasiasa za kishamba sana Tundu lissu mtu wa kwao Singinda lakini alishindwa kusema hata pole uzuri madaraka yapo watakufa watayaacha tu na Tanzania itabaki mtu anajifanya anavaa skafu ya bendera ya Tanzania hivi wananchi wakifariki watabaki wanaongoza wanyama mbungani
 
Unemsahau Bashite??

Huyo ndiyo master mind wao, anasikilizwa hivi sasa CCM zaidi ya PM!

Tetesi zilizopo ni kuwa yeye kama Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi ya Mkoa ndiye aliyeidhinisha wale askari waje na silaha za moto pale penye maandamano, na lengo ilikuwa "kuwamaliza" viongozi wa Chadema.

Lakini Bahati nzuri Mungu bado anawayetea na ndiyo sababu zile risasi ambazo "target" yake zilikuwa viongozi wakuu wa Chadema, kwa muujiza mkubwa "ikadivert" na kwenda kwenye daladala na kutwaa maisha ya yule binti ambaye hakuwa na hatia Akwilina
Nchi imefikia patamu sana .
 
Mwigulu jamani mnamuonea. Yule shetani aliyepo magogoni ndye anawacotrol kwa remote.
 
kp21022018.jpg
 
Hebu tuelezen tume huru hua inakuaje? Inateuliwaje?inateuliwa na nan?na hao watu wanatoka nchi gani?
Viongozi wa tume huru hawateuliwi na rais, na hawatskiwi wafungamane na chama chochote cha siasa. Kutakuwa na chombo kitakacho husika kuteua viongozi wa tume . Hata mkurugenzi wa manispala hataruhusiwa kujishughulisha katika shughuli zote za uchaguzi. Na tume huru haiwezi kuwa huru kama katiba haitabadilishwa.
 
Hayo ni matamko sawa na yale mengine yaliyo mhusu Mh.Lissu, Sanane na wengine! tumechoka na MANENO na hazo process za Diplomasia ambazo kwa uhalisia wake, Magufuli haoni umuhimu wake hadi kufa kwake! Kipindi hiki ni cha utawala wa kibabe na viongozi wa upinzani ni lzm kujibu mapigo kibabe vile vile.
 
NDUGU MEXENE MELLO et al.,
Naomba mnipige ban ya miaka miwili mpaka 2020.siwezi kuendelea kusoma maoni ya / comment ya wana Lumumba wapumbafu na machoko.
Ila endeleeni kushangilia, wakati bado unakuja .Magufuri kaweka vyombo vya habari kwapani, mahakama kwapani, jeshi la polisi kwani, bunge kwapani,shughuli za kisiasa na democrasia kwapani, taasisi za kidini kwapani nadhani uchunguzi kakobe mmeusikia. Shangilieni ,imbeni mtakavyo weza, tukaneni vyama pinzani mtakavyo weza, nunueni madiwani na wabunge mtakavyo weza ,ueni upinzani kadiri nguvu zenu zitakavyo weza.Ule mwisho badoo, Magufuri akianza kuuwa watu wake ndani ya ccm akihisi wanamuhujumu na wengine ndani ya chama chake , ndipo ule wakati uliotabiriwa utakuwa umewadia. Mtatafuta pa kukimbilia mtakosa, mtalia na kusaga meno ,mtaomboleza lakini hamtaona msaada wala hakuta kuwa na kimbilio. Endeleeni kushangilia, endeleeni kusifia.....siku zaja.
 
Kubenea aliomba kuhama chadema kuja CCM ,CCM ikamkataa kuwa ni mzigo.Mbunge aliyeongelewa na Polepole kuwa kakataliwa sababu ni mzigo ni kubenea Chadema zigo lenu la misumari kubenea hilo linajisafisha bakini nalo CCM tumelikataaa
 
Unemsahau Bashite??

Huyo ndiyo master mind wao, anasikilizwa hivi sasa CCM zaidi ya PM!

Tetesi zilizopo ni kuwa yeye kama Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi ya Mkoa ndiye aliyeidhinisha wale askari waje na silaha za moto pale penye maandamano, na lengo ilikuwa "kuwamaliza" viongozi wa Chadema.

Lakini Bahati nzuri Mungu bado anawayetea na ndiyo sababu zile risasi ambazo "target" yake zilikuwa viongozi wakuu wa Chadema, kwa muujiza mkubwa "ikadivert" na kwenda kwenye daladala na kutwaa maisha ya yule binti ambaye hakuwa na hatia Akwilina
 
umeandika kwa kutumia puru ya nyuma
Msiwe mnatumia maneno msiyoyajua vema! Kwani kuna puru ngapi katika mwili wako? Na tangu lini kukawa na puru ya mbele na nyuma? Nendeni darasani kusoma na sio kujifunza kutumia simu na kukua!
 
Kubenea aliomba kuhama chadema kuja CCM ,CCM ikamkataa kuwa ni mzigo.Mbunge aliyeongelewa na Polepole kuwa kakataliwa sababu ni mzigo ni kubenea Chadema zigo lenu la misumari kubenea hilo linajisafisha bakini nalo CCM tumelikataaa
Leta ushahidi usiotia shaka hapa juu ya ccm kumkataa vinginevyo wewe na huyo mrundi mwenzako polepole mna hoja ya kujibu juu ya aina hii ya siasa ambazo hazikuwahi kuwepo duniani hapa!
Haiwezekani aombe ilihali ni msumari wa moto kwa habari zake na gazeti lake. Huenda dau lenu lilikuwa dogo na ahadi ya kulifungulia gazeti lake alizishtukia kuwa hadaa!
Kubenea hajawahi kuomba kujiunga na ccm hata siku moja!
 
Yani siku hizi sioni mic(maiki) za ITV, STAR TV au CHANNEL TEN kwenye press za upinzani, kulikoni Tanzania!!
Wanaogopa kutozwa faini, kwa kuwa Press conference yoyote inayoitishwa na Chadema, kwa tafsiri yao watawala, watakuwa wanatoa lugha ya uchochezi!
 
Haha hizi propaganda za chadema za kitoto sana tz tutafute chama kingne pinzani chenye akili sio ufipa nyumbuzii
Tutafute na nani? Tafuta mwenyewe kwani kwa mwingine kinamfaa? Nawe ni mhamasishaji team polepole, le mutus au le professeri bashite? Jifunze kutumia nafsi unapotaka kuwasilisha hoja na epuka kutumia wingi kwani naamini wewe sio mjamzito!
 
Back
Top Bottom