CHADEMA yataka tume huru kumchunguza Waziri wa Mambo ya Ndani na maandamano, yasema Mtulia anarudi bungeni akinuka damu

kwan ni lazima yule kapewa hiyo huduma coz hakua miongoni mwa waandamanaji....andamana ufe uone kama utapewa ata sh. mia ata familia ikikataa kukuzika utazikwa na manispaa...upinzani unatakiwa kuelewa kuna baba wa familia na vijana wa familia so huwezi kua chini ya baba afu unataka kumwambia asiende kutembea kisa una mzidi pesa au elimu...wapinzan tatizo ni kujiona wao ndio wanafaa kuliko waliemkuta. hapo lazima mpigwe sana
Asiye na akili ndio pekee awezaye kuandika kama wewe , hivi unadhani unaweza kumtisha mtu hapa jf ?
 
Mwigulu ndio mpanga njama zote za uovu wa kisiasa , akichunguzwa kaisha !
Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwait anavaa bendera,Ni kwamba eti yeye ndio inayamuuma nchi hii,nchi hii Ni ya watu wote,uajnja wake Ni wake mwenyewe.huyu akiachiwa nchi itaingia katika maafa makubwa,sababu
Mwigulu ndio mpanga njama zote za uovu wa kisiasa , akichunguzwa kaisha !
Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwa eti anavaa bendera ndio mkwala,Ni kwamba eti yeye ndio inayamuuma nchi hii,nchi hii Ni ya watu wote,uajnja wake Ni wake mwenyewe.huyu akiachiwa nchi itaingia katika maafa makubwa,sababu Ana roho ya kikatili.
 
Mkuu Said

tutakumis sana aisee mchango wako humu haukuwa mdogo, ulikemea nasi, tukatoka wote povu, tukalalamika sote na hata pale pa kuungana mkono tulikua wote.

Nakutakia mapumziko mema, najua miaka hii miwili ikisha utakuja tuendelee kujenga taifa letu.
 
Yani siku hizi sioni mic(maiki) za ITV, STAR TV au CHANNEL TEN kwenye press za upinzani, kulikoni Tanzania!!
Wamewachoka
Kubenea anasema mtulia ananuka damu,anasahau kumtaja mbowe aliesema bora tufe hata 200 bahati mbaya akafa mmoja tu
 
naomba mumfikishie swali langu Kubetaa Cdm wasingeandamana Aqwelina angepigwa risasi?
 
naomba mumfikishie swali langu Kubetaa Cdm wasingeandamana Aqwelina angepigwa risasi?
Wewe akili yako ni fupi kama mkia wa mbuzi? Hebu nikuulize swali dogo tu: Maandamano yoyote mradi yawe ya amani ni haki ya Mtu, kikundi au Chama cha siasa kwa kuwa yanaruhusiwi kwa mujibu wa katiba yetu, Je tuambie awamu hii ya 5 kila maandamano ni haramu na anayefanya hivyo anastahili kutupiwa risasi iwe ya kujeruhi au kuuawa?
 
Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwait anavaa bendera,Ni kwamba eti yeye ndio inayamuuma nchi hii,nchi hii Ni ya watu wote,uajnja wake Ni wake mwenyewe.huyu akiachiwa nchi itaingia katika maafa makubwa,sababu

Huyu Mwigulu ndio jitu baya kabisa,ati kwa Kuwa eti anavaa bendera ndio mkwala,Ni kwamba eti yeye ndio inayamuuma nchi hii,nchi hii Ni ya watu wote,uajnja wake Ni wake mwenyewe.huyu akiachiwa nchi itaingia katika maafa makubwa,sababu Ana roho ya kikatili.
Siku ya mwisho kila goti litapigwa , siku hazigandi
 
Kukwepa kodi ,Chadema

Kutetea mafisadi Chadema

Kusababisha mauaji Chadema

Kuangamiza vijana kupitia madawa ya kulevya Chadema.

Kupinga miradi ya maendeleo Chadema.

Kwa kweli kuna haja ya kuiangalia kwa jicho la tatu Chadema.
 
Mbowe naye anatakiwa astepdown je maandamano yalikuwa halali?je kulikuwa hakuna busara yingine zaidi ya kuvunja sheri? Na je?siku hizi tunadai haki kwa kuvunja sheria
 
Back
Top Bottom