CHADEMA yataka TAKUKURU ichunguze Wabunge wake kutimkia CCM

Fisadi Asiyeshtakika, Fisadi Aliyetokea Mbinguni moja kwa Moja Chadema, Fisadi aliyeruhusiwa kugombea uraisi ktk nchi yenye vuombo vya dola Imara kama usalama wa Taifa. FISADI ALIYETENGENEZWA NA CHADEMA. FISADI ANAYEPENDWA NA KILA AMTAJAE. HUYU FISADI JINA SIO MATENDO MAAN ANGESHASHTAKIWA.
Wao walivyompokea ' Fisadi ' Mkuu nchini Tanzania katika Chama chao cha CHADEMA waliomba TAKUKURU wamchunguze?
 
CHADEMA mnaonyesha jinsi gani mlivoweak,kabisa Mkurugenzi wa Itikadi anasema TAKUKURU wachunguze wabunge wao kama waMepokea Rushwa au vipi kweliii waliwapa vipi kugombea Ubunge wakati na wala Rushwa!??
Kwahiyo waliwapa rushwa ili wagombee ubunge?
 
Kumbuka siku njema huonekana asubuhi!
Hivi kama chama kinapendeka figisu za uchaguzi za nini? Hasa uchaguzi was mijini? Huko maeneo kama Tunduru, Katavi nk hatutii neno kwani tunajua swala LA elimu linaipaisha ccm na upinzani hawajalalamika ushindi wa ccm. Wizi wa nini sasa?
 
Nani atakaeruhusu huo uchunguzi, mnataka mkurugenzi wa TAKUKURU atumbuliwe.

idawa acha kutetea wajinga hawa, Lowasa alihamia CDM kwa kuahidiwa nafasi ya kugombea urais, Sumaye alihamia CDM kwa kuahidiwa kuwa kiraka kama Lowasa hali yake ya kiafya ikiwa mbaya. Kuna wabunge wengi tu kuanzia kina Ester Bulaya nk wamehamia CDM ili tu kujihakikishia tu nafasi za kugombea Ubunge. Anacho ongea Mrema ni utoto na ujinga.
 
Fisadi Asiyeshtakika, Fisadi Aliyetokea Mbinguni moja kwa Moja Chadema, Fisadi aliyeruhusiwa kugombea uraisi ktk nchi yenye vuombo vya dola Imara kama usalama wa Taifa. FISADI ALIYETENGENEZWA NA CHADEMA. FISADI ANAYEPENDWA NA KILA AMTAJAE. HUYU FISADI JINA SIO MATENDO MAAN ANGESHASHTAKIWA.
Ukimaanisha wote ambao hawajafikishwa mahakamani hawajaifisidi nchi hii?
Basi nchi hii haina hata hao mafisadi maana Kesi zingekua nyingi mahakamani.
 
Back
Top Bottom