CHADEMA yasitisha oparesheni M4C na kuitisha kikao cha Kamati Kuu

Ni maamuzi sahihi na kwa muda sahihi kwa watu sahihi.Tunaomba kikao chenu kitoe tamko kali kwa mambo yafuatayo;

  1. Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye hati miliki na dola ya nchi hii
  2. Polisi wajue kwamba wanalolifanya ni short term strategy, wananchi wako tayari kwa lolote kwa sasa na siku zijazo
  3. IGP apewe mwaaliko maalumu katika moja ya mikutano ya M4C akajionee jinsi watanzania walivyo tayari kwa mabadiliko, ningependekeza awepo siku ya kufunga mikutano ya iringa utakaofanyika mjini iringa pia waalikeni wengine kama MANUMBA, NCHIMBI NA TENDWA. Mwaliko huu utawasaidia kujifunza how the society has drastically changed towards true democracy.
  4. Ombeni tume huru ya rais itakayojumuisha hata viongozi wa dini
  5. Muitake serikali itumie tukio la mwangosi marehemu kama a case study ya namna bora ya kuunda tume za uchunguzi.tofauti na sasa tume zinaundwa na hata na vilaza kama KOVA
  6. SEMENI BILA KUPINDISHA KUWA MNAANDAA MAZINGIRA YA KIDEMOKRASIA YA KUCHUKUA DOLA 2015.
 
Waje na kitu ambacho kitawaonesha kuwa hatimaye wanaelewa uzito wa kile kinachowakabili. Maana tangu 2010 bado wanaonekana walikuwa wanaamini kuwa wanaweza kuishawishi serikali ya CCM to be nice to them...

Well Said mkuu,point noted!
 
Ni vyema wakatathmini mwendeno wa chama chao kwani kimeanza kujenga taswira mbaya kwa watanzania.
 
Ni maamuzi sahihi na kwa muda sahihi kwa watu sahihi.Tunaomba kikao chenu kitoe tamko kali kwa mambo yafuatayo;

  1. Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye hati miliki na dola ya nchi hii
  2. Polisi wajue kwamba wanalolifanya ni short term strategy, wananchi wako tayari kwa lolote kwa sasa na siku zijazo
  3. IGP apewe mwaaliko maalumu katika moja ya mikutano ya M4C akajionee jinsi watanzania walivyo tayari kwa mabadiliko, ningependekeza awepo siku ya kufunga mikutano ya iringa utakaofanyika mjini iringa pia waalikeni wengine kama MANUMBA, NCHIMBI NA TENDWA. Mwaliko huu utawasaidia kujifunza how the society has drastically changed towards true democracy.
  4. Ombeni tume huru ya rais itakayojumuisha hata viongozi wa dini
  5. Muitake serikali itumie tukio la mwangosi marehemu kama a case study ya namna bora ya kuunda tume za uchunguzi.tofauti na sasa tume zinaundwa na hata na vilaza kama KOVA
  6. SEMENI BILA KUPINDISHA KUWA MNAANDAA MAZINGIRA YA KIDEMOKRASIA YA KUCHUKUA DOLA 2015.

Hivi CHADEMA hawana watu makini wa kuandaa agenda za vikao mpaka waandaliwe humu JF? nakumbuka hata kauli ya SLAA kuhusu tamko la TENDWA kayasema yale yaliyokuwa yakichangiwa humu JF tangu juzi.
 
Hapo wakae wajadili kwa kina kwani mpinzani wao amechanganyikiwa sasa anakula watoto wake mwenyewe. Kwa kuwa watz karibu wote wamejua kuwa CCM NA SERIKALI yake ndio wanao wauaji, wadini, wakanda na wabaguzi kazi sasa ni mbinu tu kueneza elimu ya URAIA.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hivi CHADEMA hawana watu makini wa kuandaa agenda za vikao mpaka waandaliwe humu JF? nakumbuka hata kauli ya SLAA kuhusu tamko la TENDWA kayasema yale yaliyokuwa yakichangiwa humu JF tangu juzi.
\

Kama slaa aliyaongea ya kutoka humu jf basi ujue ile ilikuwa sauti ya MUNGU maana sauti ya wengi ni sauti ya MUNGU
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ni vyema wakatathmini mwendeno wa chama chao kwani kimeanza kujenga taswira mbaya kwa watanzania.

exactly, na hili ZITTO alishaliona akaamua kukaa pembeni sasa yanawatokea puani. Baba na Mama hawezi kuua mtoto kwa sababu ugomvi wao, halafu lawama zikamwendea Baba peke yake, Mama naye lazima yuko hatiani. CDM hajiwezi kuweka pembeni na mauaji yanayotokea kwenye mikutano yao
 
Siku zote tunasema Chadema ni chama Makini kwa watu makini, good movement.
 
CDM ndio wanaoshika mabomo ya machozi? Tafakari.
 
Ningependa kuishauri CDM waachane kabisa na M4C kwani kama ni vita basi haina tofauti na vita ya MAJIMAJI.Imebeba dhana na mbinu dhaifu.
 
Siku zote tunasema Chadema ni chama Makini kwa watu makini, good movement.
Alama ya freemasons hiyo, hata maneno yako ni ya kifreemasons 2. Hakuna haja ya kukushangaa. CDM wamekwenda kujitathmini kama wana uhalali wowote wa kuendelea na mauji ya watu wasiyokuwa na hatia.
 
Ni vyema wakatathmini mwendeno wa chama chao kwani kimeanza kujenga taswira mbaya kwa watanzania.
Mingoi samahani wewe ndio yule mkata viuno wa Twanga pepeta kwenye miaka ya 2003 mpaka 2008? kwa mpenzi yeyote yule wa Twanga lazima atakuwa anayakumbuka mauno ya huyu Mama Mingoi. nimeuliza tu maana nimemmis.
 
Last edited by a moderator:
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom