CHADEMA yasitisha mikutano yote ya hadhara iliyopangwa kuanza Aprili 4 kutokana na tishio la Corona


Umezungumzia janga la maambukizi ya ugonjwa wa Korona katika viwango ambavyo anapaswa kuzungumza mkuu wa nchi wakati wewe ni mwenyekiti wa chama tuu. Tena Chama cha upinzani.

Umeonyesha talanta za kiuongozi katika ku address jambo zito kabisa bila mizaha wala blabla, hakika tukiweka ushabiki pembeni hotuba ya Leo ilistahili iwe na kichwa cha utambuzi kama MBOWE ALIHUTUBIA TAIFA JUU YA UGONJWA WA KORONA.

Tunatumaini kuwa hata walioko madarakani watajifunza toka kwako namna ya kuzungumzia mambo mazito ili kuliepushia taifa na aibu ya Mara kwa Mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa sijui Polepole na Makonda watakuja na ngonjera gani tena? maana walikuwa wanapanua makoo yao kuwa mbowe hawapendi watanzania katangaza mikutano wakati kuna covid 19
 
#COVID19EastAfrica

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuwa chama hicho kimeahirisha mikutano yote iliyopangwa kuanza Aprili 4, 2020 ili kuepuka mikusanyiko ya watu inayoweza kusababisha maambukizi ya virusi vya #Corona.
Hiyo mikutano ingefanyikia wapi?!
 
Acha kutumwa mshenzi nini wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa umemtukana ulitakiwa ujipe muda zaidi kutafakari alichosema Petro E. Mselewa kina ukweli flani.
Wakati mwenyekiti anatoa tamko lile la mikutano kuanzia April alikuwa anaona hali iliyopo huko duniani kote.

lakin pia Mbowe anaweza hakuona hilo sababu hapa nchini tulikuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa COVID-19.
Hapa naona wote mna hoja ya kushikika.
 
Hivi Joyce Mkuya amempendea nini kiongozi muoga namna hii?

Kila mara hutoa matamko na kuyatengua, sasa hivi ametengua baada ya kukoromewa na RC Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo jema Sana na hii ndo sifa ya kiongozi makini
Huyo mwingine wacha aendelee kusema tusitishane ,Italia Wanajuata huko now ni vyema hatua za makusudi kabisa zikachukukiwa na syo kufanya maigizo kama watawala wanavyofanya ,cc n watanzania hatutaki kuona hata mmoja wetu akipotea tunahitajiana kila mmoja wetu ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha. wanasiasa bhana, as if kweli walikuwa na uwezo wa kuandamana, niliandika humu kwamba katangaza makusudi akijua mpaka muda huo tiari mikutano ishazuiliwa hapo anafanya kuepuka aibu tu !
 
Hahaha. wanasiasa bhana, as if kweli walikuwa na uwezo wa kuandamana, niliandika humu kwamba katangaza makusudi akijua mpaka muda huo tiari mikutano ishazuiliwa hapo anafanya kuepuka aibu tu !
Huelewi unaongea nini! Sasa mbona serikali yako inaharisha wakisikia kuhusu chadema.
 
1584975346350.png

Lakini hapa Kigogo umeongeza chumvi, 60 centigrade haijafika ukisema 40 centigrade tutaelewa.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom