CHADEMA yasitisha mikutano yote ya hadhara iliyopangwa kuanza Aprili 4 kutokana na tishio la Corona

Wewe kweli mburula, Siasa siyo vitu mura. Ila kuna wengine hawana staha kwenye siasa kutokana na tabia ya kuishi kwa Matukio.
kama ilivyo kwa polepole na makonda. wanaishi kwa matujio ndio maana kila siku wanasubiri mbowe aongee ili wapate jambo la kutokea
 
Hivi Joyce Mkuya amempendea nini kiongozi muoga namna hii?

Kila mara hutoa matamko na kuyatengua, sasa hivi ametengua baada ya kukoromewa na RC Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom