Chadema yashindwa kuonyesha njia kuhusu dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yashindwa kuonyesha njia kuhusu dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gamba la Nyoka, Jan 28, 2011.

 1. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,593
  Likes Received: 6,755
  Trophy Points: 280
  Mbona Chadema kama Chama hawalitolei kauli Sakata hili[ Tunataka CC ya Chadema na si maoni ya Slaa au Mbowe pekee yake], kivipi wanashindwa kucapitalize na kuweka pressure kubwa kwa Serikali kuhusiana na Sakata hili?
  Mimi nina wasiwasi kwamba Chadema kama Chama Kikubwa Cha Upinzani wameshindwa kutoa Uongozi wa katika hili jambo la Dowans.

  Inakuwaje taasisi na watu binafsi wawe msitari wa mbele kupambana na hii issue ya dowans lakini hatuoni Pressure ya Kutosha kutoka Chadema?

  Kivipi tusikie kauli za hapa na pale kutoka kwa Slaa lakini tushindwe kuona Msimamo wa Chama kutoka CC ya Chadema?.

  Mbona Mwenyekiti wa Chadema yuko kimya kuhusiana na suala hili?, je anauhusiano wowote na baadhi ya Watuhumiwa wakubwa wa Dowans Nchini?.

  Pressure ya Chadema imekuwa ndogo sana, we need more from them, siyo kauli za majukwaani tu, bali tunataka tuone wakitoa leadrship both POLITICAL AND LEGAL katika hili suala.
   
Loading...