Chadema yashinda udiwani arusha(daraja mbili),ccm yashinda arumeru (bangata) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema yashinda udiwani arusha(daraja mbili),ccm yashinda arumeru (bangata)

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Arusha Leo, Oct 29, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Oct 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA jana iliibuka mshindi katika kiti cha udiwani kata ya daraja mbili kwa kura 2193 dhidi ya ccm iliyopata kura 1324,huku CUF 162,NCCR MAGEUZI 22 NA TLP 42

  Hata hivyo katika kata ya Bangata Mgombea wa CCM alipata ushindi .
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  swali
  kitu gani hasa kilichopelekea mgombea wa chadema kushindwa arusha ?? je ilikuwa ni swala la rushwa au mgombea usika
  hakuwa na sifa za kuwa diwani?? ni vigumu kuamini kama uchaguzi ni nguvu ya hoja CCM wanaweza kuja na hoja gani ya kuizidi ya msingi kwnai umaskini uliotapaa kila kona ni ushahidi tosha wa kushindwa kwa sera za ccm please let us know.
   
Loading...