Chadema yasaidia nchi kurejeshwa katika msatri sahihi kiutawala

Jatropha

JF-Expert Member
Apr 9, 2009
1,151
199
Ndugu wanaJF licha ya mapungufu yote yaliyotokea wakati wa uchguzi mkuu wa 2010, jambo moja ni dhahiri kuwa CHADEMA imesadia kuirejesha Tanzania katika uongozi unaozingatia maaadili mema.

Hii inaweza kuthibitishwa kwa vigezo vifuatavyo:-

a) Mafisadi wakiongozwa na EL CHENGE n.k kuonyeshwa mlango wa kutoka katika siasa za Tanzania.

b) Kuilazimisha CCM na Mhe Jakaya Kikwete kuwatambua na kuwatunikia heshima wabunge wake ambao walikuwa wakipambana kwa dhati na ufisadi wakiongozwa na Mhe Samwel Sitta, Mhe Harrison Mwakyembe ambao walikuwa njiani kushughulikiwa kisiasa.


Nini maoni yako kuhusu mchango wa CHADEMA katika kurejesha uadilifu hapa nchini?
 
ni kweli kabisa mkuu,lakin la Mhe Samwel Sitta huyo amemalizwa kabisa maan atapotea kabisa na ndio inakuwa kwishney......:teeth:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom