Elections 2010 CHADEMA yapotelewa na mmoja wao

PgSoft2008

JF-Expert Member
May 15, 2008
264
73
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.

A case has been reported to Oysterbay police station.

Mwenye zaidi ajalizie


Nawakilisha
 
Du, Mkuu source ya info na kama unaweza kutupatia jina lake tutafurahi may we might know his ware about
 
Jamani kuna tetesi ya mtu muhimu mmoja wa chadema aliekuwa akifuatilia database in making comparison of what has been published by NEC has been lost since yesterday.

A case has been reported to Oysterbay police station.

Mwenye zaidi ajalizie


Nawakilisha

Unaweza ukatoa ufafanuzi zaidi?

Pia na source of tetesi?
 
Du, Mkuu source ya info na kama unaweza kutupatia jina lake tutafurahi may we might know his ware about

Mkuu source ni Police oysterbay mdau alikuwepo when matters were reported. a name is currently withheld na yasemekana alichukuliwa kutoka hotel fulani iliyopo karibu na victoria petrol station akiwa katika kazi tajwa.
 
Msitutie presha jamani!!! tunataka facts.

That is what I can give for now and am confident with all I have said including my source. Tusubiri mtajua ukweli muda si mrefu najua kuna wengine pia wana hii issue
 
PgSoft2008 naomba ufuatilie hiyo habari ndg yetu, halafu utuhabarishe zaidi, kuwa kama investigator, ambaye kazi yake inaanzia from the source.

 
Kama ni kweli sasa ndo tutaanza kuelewa statement ya JK kuwa security should be on alert
 
Utawala wa kiibazazi hauna maisha marefu daima,waache wafanye watakayo ili waendelee kuwa madarakani ila siku zao zinahesabika
 
jamani mbona mnataka kututia tashtiti , taarifa nyingine zinadai kuwa kazi hiyo ilikuwa ikifanyika nyumbani kwa kigogo wa chadema na si hotelini
 
Kama suala liko polisi kuna haja gani ya kuficha wasifu wa huyo mtu. suala likifika polisi ni la wazi.mwaga data hapa watu wachangie kwa kujiamini
 
Watu wakijua fulani kakamatwa na makachero, wataogopa kumtesa kwani watajua wanafuatiliwa nyendo zao, kuficha jina la mhusika humsadii aliyekamtwa!
 
Wakuu ni kweli huyo kijana amepotea katika mazingira ya ajabu ajabu tu na mimi nimeipata toka police osterbay. yeye alikua anajumlisha matokeo ili Chadema wawe na uhakika hasa idadi ya kura zilizoporwa alipotoka nje wakamdaka wakaondoka nae.

CCM mda wao wa kuondoka umefika na kamwe hawawezi kuzuia hilo. kwa sasa naelekea hapo police ili nipate hali nzima halafu ntawambia.
 
chapakazi mungu kaingiaje hapa?
Mungu na Yesu ni wa chadema peke yako.

Well inawezekana pengine aliekamatwa ni yule aliehusika na kifo cha mhe wangwe ndio maana hatajwi jina anyway ngoja tusubiri.
 
Jamani suala hilo ni kweli dakika kama tano nimeongea na mnyika naye amenidhibitishia kuwa ni kweli ila hawawezi li associatte jambo hilo na matokeo ya uchaguzi bado wanafanya follow up

mzee gomezi
 
Kwa hiyo hii siyo tetesi tena?, je hii inaweza kuwa sababu iliyo mfanya Dr ashindwe kuongea na wananchi leo....
 
Kidogo kidogo sura halisi ya udictator wa jk na serikali yake unaanza kujidhihirisha. Tunaomba wadau mtupatie vielelezo zaidi na hata jina la mlengwa ili watu wavuvuzele peupe. Maana hakuna kitu mwizi asichopenda kama kujulikana kwa jamii inayomzunguka kuwa mwizi.
 
Back
Top Bottom