Chadema yapokelewa kwa kishindo muheza-tanga

MALUNGU

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
250
97
katika hali ambayo haikutarajiwa wakazi wa kata za Genge na Tingeni wilayani Muheza wameapa kuwachagua madiwani wa cdm. Tumeamua kuanza na mabadiliko bila kujali tofauti zetu za vyama. Walisema wakazi hao. Kamanda Mbowe aliongeza amusha amusha ktk eneo la Kerenge then viwanja vya Teule mjini hapa siku ya Ijjumaa. Wagombea ni Mh.Yosepha Komba Ferdinand-Halima Mdee wetu na sisi si maneno yangu ni wakazi wa kata ya Genge-mjini hapa. Na Mh. Omari Hatibu Salim.
 

Attachments

  • HPIM0759.JPG
    HPIM0759.JPG
    796.3 KB · Views: 380
Ukiona mtu anatangaza bovu kuhusu Chadema ujue au amefukuzwa Chadema kama kina lukosi, mwampamba, shonza na wengine, au anaganga njaa yake sisiem. Mwanaccm wa kweli wala hahangaiki na chama kingine chochote, bali hutangaza sera za CCM, ingawa kwa sasa hazina mashiko tena.
 
Safi sana nyumbani hapooooo aisee hadi raha kama ningekuwa karibu na home hakika 100% ningekuwepo kuwasha moto,hakuna kulala hadi kieleweke Viva Chadema.chadema tuko na Mungu magamba wauaji walipua mabomu wana Pesa na Mapepo
 
Back
Top Bottom