CHADEMA yapita bila kupingwa katika vijiji 24 na vitongoji 52 wilaya ya Muheza

Kicheba One

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
399
194
Wanajamvi, mpaka sasa CHADEMA imepita bila kupingwa hii imetokana na wagombea wa CCM kujaza ovyo fomu zao,wagombea wa CHADEMA wamewawekea mapingamizi makali ambayo mpaka muda huu taarifa toka kwenye vikao vya kushughulikia mapingamizi wamekiri wagombea wa CCM wameboronga hivyo wameenguliwa,vijiji hivyo na vitongoji.

Nitawaletea majina yake.
 
Wana janvi mpaka sasa chadema imepita bila kupingwa hii imetokana na wagombea wa ccm kujaza ovyo fomu zao,wagombea wa chadema wamewawekea mapingamizi makali ambayo mpaka muda huu taarifa toka kwenye vikao vya kushughulikia mapingamizi wamekiri wagombea wa ccm wameboronga hivyo wame enguliwa,vijiji hivyo na vitongoji nitawaletea majina yake

Hizi threat zenu hazina mashiko,watu wote masikio na akili ziki DODOMA mambo ya ESCROW wewe unaleta hadithi gani tena,embu kaa kimya
 
Kaka/baba tulia kidogo tusikie kwanza kuhusu pesa zetu ntakuona baadae
Wana janvi mpaka sasa chadema imepita bila kupingwa hii imetokana na wagombea wa ccm kujaza ovyo fomu zao,wagombea wa chadema wamewawekea mapingamizi makali ambayo mpaka muda huu taarifa toka kwenye vikao vya kushughulikia mapingamizi wamekiri wagombea wa ccm wameboronga hivyo wame enguliwa,vijiji hivyo na vitongoji nitawaletea majina yake
 
Heh heh heh heh! Kumbe ukistaajabu ya Musa utayaona ya F.............,siasa za Tanzania nooooma sana!
 
Naanza na list kama tetesi

Kasisiwe-sba municipal
Chanji-sba municipal
Hali ya hewa-sba municipal
Nk
 
Hizi threat zenu hazina mashiko,watu wote masikio na akili ziki DODOMA mambo ya ESCROW wewe unaleta hadithi gani tena,embu kaa kimya
lakin wewe still upo hapa,kwanin umehamisha masikio yako toka dodoma na kuyaelekeza muheza?
 
Back
Top Bottom