CHADEMA yapinga tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

Jamaa Nchimbi alipewa Poor Hair Distribution yake mwaka Jana pale Mzumbe Main Campus Morogoro. Napenda nikukumbushe kwamba siku hizi vyuoni kuna uozo mkubwa. Ukiwa na pesa yako unapata Degree ukiwa nyumbani. Assignment inafanyika na anayeifanya ndiye anayeisahisha na kukupatia marks. wewe unapo unachofanya ni kuonekana mwanzoni mwa semester ya kwanza, alafu unaandika barua ya Kupostpone mwaka. alafu mwaka unafuata huonekani mwanzo unakuja kuleta proposal yako ya dissertation ambayo nayo umefanyiwa. Marks zako unaziwa vizuri *UPPER Second Class* Alafu unagraduate na wanafunzi wa mwaka uliokutangulia. wenzako hawezi kujua details zako kwani ulikatiza masomo yako katika kipindi kilichokuwa kinatangulia! Unaona hiyo Trick Mwanangu! Na kwa vile Assignment na Mitihani hukufanya, vitabu pia hukusoma, hata dissertation ulifanyiwa na wakati wa kudifendi unapewa maswali kabla unajifua basi ni rahisi kupata elimu chafu alafu unaitumia vibaya kuua watanzania, kwani hujui hata principles za Administration. Vyuo sasa hivi uozo. Lecturer hawezi ku-critisize serikali anaogopa kuwa-quoted!

Ni mambo mengi yanatokea nchini, we need to be mindful, and where possible some of the people have be sacrificed for the welfare of the majority. Sasa fikiri namna ya kuendesha nchi hii. Wakati mwingine Democrasia inachelewesha mabadiliko. alternative means should be applied now.
 
Mkuu Ritz,
Siasa ngumu Tundu si ndiye anayelalamikia elimu za majaji wa mahakama kuu anadai wengi wao ni voda fasta sasa leo hii ameona wana elimu ya kutosha kuwemo kwenye tume ya mauaji? Chadema bana hujui nani mlevi na teja kama wamechanganyikiwa hivi!

Chama
Gongo la mboto DSM-safarini Brussels

chama, kama ujumbe ulitaka umfikie ritz ungemsms.
 
Back
Top Bottom