CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

Wewe utaacha lini kutumiwa na CCM kila kukicha habari za uongo unaandika humu jamvini,haya nenda kachukue posho kwa NAPE.
 
Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya serikali na kukubali kwenda kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Sheria kufuata mkondo hivi punde kwa kuwakamata wahusika na kuwapeleka kunako husika kwa kuchochea uvunjifu wa amani na huko kutakuwa na kusaga meno

usipende kukaa kwenye vijiwe vilivyojaa mababu ambao hawajasoma....kahawa yao wanachanganya na ugoro..mtoto mdogo ushaharibika aisee..dah hapo huoni mbele wala nyuma unasubiri kucameruniwa tu.
 
Nawapongeza wananchi wa Arusha kwa kufanya uamuzi wa busara.

Kama anataka aandamane na familia yake.
 
Loooo! Huyu ni kiongozi gani, kila abunilo lashindikana si AJIUZULU.

nINGEKUWA mH sLAA ningejiuzulu mara moja, lakini huyu dikiteta hata kwa bunduki hajiuzulu. Inabidi ashikwe yeye na kuswekwa ndani.

Mwanamke anapotamani kuwa mwanaume hiyo ni dalili mbaya sana!
 
Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya serikali na kukubali kwenda kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Sheria kufuata mkondo hivi punde kwa kuwakamata wahusika na kuwapeleka kunako husika kwa kuchochea uvunjifu wa amani na huko kutakuwa na kusaga meno

sasa nimeamini sisiemu wote wanatumia masaburi kufikiri!!! AMINI USIAMINI VITA DHIDI YA ccm IMEINGIA AKILINI KWA KILA MWANANCHI WA NCHI HII!!! UTANIHADITHIA HAPA HAPA JF
 
''jigoku'' nakusihi usijichoshe bure inawezekana unaongea na watoto wa primary, hao akina.......25 hawaeleweki kwani wanatabia ya kubadilika ka-mtoto mdogo leo anasema hiki na kesho kile
 
Ukitaka kujua logic ya chadema, jifunze kutoka kwa Michael Satta. magamba ni uzao utokanao na masaburi
 
Huyu mzee amechanganyikiwa. Anadhani watanzania ni wajinga, angeweza kuwaburuza anavyotaka. Ni ujinga.
 
Nimeamini sasa,kumbe bhange sio mchicha wa mchina,thread yako kwa mawazo yako unadhani nitachangia,ngoja nipite tu.
 
Watu wa Arusha wana akili sana. Hawataki upuuzi wa viongozi wa vyama uchwara. Ni wachapa kazi.

Wewe kweli haunazo,ni wale wale uliokuwa unawaita hawana akili/wajinga ndo sasa unawaita wana akili.Hiyo imekaaje?
 
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?
 
Mnachekesha sana hivyo vyama vilifanya matukio kwa kukurupuka na misukumo yamsisimko cdm kiko makini kinaongozwa na watu makini hivyo kila harakati zinafanywa kwa umakini mkubwa endelea kuona kikipanda na ccm ikishuka usitegemee vinginevyo
 
Wakati mwingine maamuzi ya busara ni muhim na sio people power tu! Watanzania wataanza kupunguza iman kama wataendelea kutumia nguvu ya uma kwan wa tz wengi hawapendi vurugu..
 
Ni dhahiri kwamba yanayoendelea Arusha yatakuwa na madhara kwa cdm aidha chanya ama hasi. Je kitendo cha viongozi wa Chadema kuwashawishi wananchi kinyume cha utaratibu na kusababisha adha na usumbufu katika maisha ya watu haiwezi kuwa ndio mwanzo wa kupotea kwenye siasa kama ilivyowahi kutokea kwa vyama kama nccr na cuf?

sasa we unamfananisha DR.SLAA na MLEMA.?au MBOWE na MBATIA..
 
Mnachekesha sana hivyo vyama vilifanya matukio kwa kukurupuka na misukumo yamsisimko cdm kiko makini kinaongozwa na watu makini hivyo kila harakati zinafanywa kwa umakini mkubwa endelea kuona kikipanda na ccm ikishuka usitegemee vinginevyo
Je kuvunja sheria za nchi ama kufanya mambo kinyume na utaratibu ndio umakini?
 
Chadema ni chama cha msimu, msimu wake unakaribia kuisha.
Tehe.

Chama cha msimu kimekusanyiwa police wa tz nzima?

Chama cha msimu kinawafanya magamba wakose usingizi ilhali wameshika dola?

Chama cha msimu kimemfanya nape awalipe wewe na wenzio elfu mbili kila siku kupambana nacho?

Tulieni chama cha msimu kitajifia siku sio nyingi.
 
Back
Top Bottom