CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

Kwa hiyo Lema na a loser Dr Slaa nani Kamanda shujaa?

Nadhani Lema ndio shujaa lazima tumchague kugombea urais 2015

masaburi noma!
Usisiemlyosis unakusumbua,na kupoteza kabisa uwezo wako wa kufikiri!
 
Nimejizuia sana kusema kwamba unatafuta bwana. Aidha alikimbia au hakukimbia inabadilisha nini? Jiulize maisha yako na yake yako vipi kabla hujaja kuandika uppuzi wako humu. Wananchi wana shida, wanataabika sana. Hawana msaada wowote unabaki kushabikia. It will soon end, with or without Mbowe and Slaa.

Shida unaijuwa wewe? shida tulikuwa nayo wakati wa Nyerere Tanzania hii, wala usitukumbushe. Kitumbuwa ilkuwa anasa.
 
Shida unaijuwa wewe? shida tuliwa nayo wakati wa Nyerere Tanzania hii, wala usitukumbushe. Kitumbuwa ilkuwa anasa.

Dada wewe na mzimu/maiti ya Nyerere nani mwenye impact kubwa hata sasa hapa Tanzania? CCM yenu wote wako nyuma ya kivuli cha Nyerere ku-legalise uwepo wao madarakani no wonder huishi kumtaja hata baada ya kufa miaka 12 iliyopita..Pole sana!
 
Utumiaji mbaya wa nguvu zozote zikiwamo nguvu za umma ni kielelezo sahihi cha udikteta. Peples Powers must abide by the rule of law, otherwise that will amount to absolute corruption.
 
Dada wewe na mzimu/maiti ya Nyerere nani mwenye impact kubwa hata sasa hapa Tanzania? CCM yenu wote wako nyuma ya kivuli cha Nyerere ku-legalise uwepo wao madarakani no wonder huishi kumtaja hata baada ya kufa miaka 12 iliyopita..Pole sana!

Wangeendelea na vijiji vya ujamaa hapo ningekuamini, wangeendelea na kura ya ndio na hapana hapo ningekuamini, wangeendelea na kunyang'anya mali za watu hapo ningekuamini.
 
Utumiaji mbaya wa nguvu zozote zikiwamo nguvu za umma ni kielelezo sahihi cha udikteta. Peples Powers must abide by the rule of law, otherwise that will amount to absolute corruption.

Wapi ilipotumika wa nguvu yoyote? ufanye mkesha wa kisiasa wakati dola imekuambi mwisho saa kumi na mbili jioni halafu ukikamatwa uende ukajibu mashtaka ya kwanini hukutii amri ya dola uje kusema nguvu zimetumika vibaya> Fikiri.
 
FaizaFoxy,
Umewashika pabaya Magwanda unaangusha mmoja mmoja...

FaizaFoxy 1= Magwanda 30
 
Chadema eti wanajifanya wana nguvu ya umma polisi 20 tu wamesambaza watu pale uwanjani..

Vitu viliivyobakia pale uwanjani ni yebo yebo na pakiti za viroba..

Nguvu ya umma mna wabunge 23?
 
Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya serikali na kukubali kwenda kuendelea na ujenzi wa Taifa.

Sheria kufuata mkondo hivi punde kwa kuwakamata wahusika na kuwapeleka kunako husika kwa kuchochea uvunjifu wa amani na huko kutakuwa na kusaga meno


Kwa wanaojua Siasa wanajua kinachoendelea,nyie vipofu songeni mbele.waulizeni polisi kama wanalala.
 
Hii si msingekubali kuondoka kwenye hivyo viwanja vya NMC kama mko tayari kufia nchi wehu tu.. unatishia kujamba wakati unaugua kuharisha....hahaha nijichekee mie.

Hapo hao kwenye red, hivi kumbe unajua nchi ina matatizo et? Sasa unasubiri nini kujiunga na wapiganaji
 
Back
Top Bottom