CHADEMA yapania kuchukua kata zote za kaskazini uchaguzi mdogo wa madiwani

Nguto Kitojo

New Member
May 29, 2013
1
1
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kimezamiria kutwaa ushindi kwa kata zote tisa za kanda ya Kaskazini zitakazoshiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani Tarehe 16 mwezi huu.
Mtoa uzi huu aliwasikia kwa karibu katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa akiwa na Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Kanda hiyo ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama hicho na Pia Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wakipanga mikakati hiyo juzi usiku katika Hotel Moja inayomilikiwa na KKT Mjini Arusha.
Katika Mikakati hiyo wamehusisha na kutawanya wabunge wake machachari na maarufu katika kata hizo huku wazamiria kufunga kampeni kwa Kishindo siku ya Tarehe 15 mwezi huu.
Pia walisikika wakipanga Mawakala wakuu ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA DR. Slaa ndiye atakayekuwa wakala mkuu huko Muheza wakati Freeman Mbowe atakita Arusha kama Wakala Mkuu huku Joshua Nasari akiwa Makuyuni Monduli wakati Tundu Lissu atakuwa Mbulu na Mchungaji Msigwa akiwa Babati huku Lema, Mh Ndesamburo na Golugwa wakifanya Overall Supervision angani kwa kutumia Helicopter.
Tayari wameshapanga makamanda wao watakaowasambaza katika katika hizo katika wiki ya Mwisho ya kampeni wakiwemo wabunge wote wa kanda hiyo kupitia Chadema, Madiwani Machachari na Makamanda Chipukizi lakini wenye ukali wa Hoja na wanaojua kulimiliki jukwaa vilivyo ambao wengi wao wanatajwa kuwania Majimbo mbalimbali 2015
wote kwa pamoja watakuwa wakimwaga sera za chama hicho na kuitia CCM kaburini.
 
Mods hawa mumiani wanaochafua jamvi umewatoa wapi kweli umeacha milango kiasi cha nzi,mende,chawa,kunguni,wote wanaingia,yaani unaongopa bila kutoa fact zozote halafu unataka tuchangie peleka ujinga wako kwa mamayo
 
Tuwe wabunifu ................pamoja na hayo......piiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiipooooooooooooooooooooooooooooooooo?
 
Mods hawa mumiani wanaochafua jamvi umewatoa wapi kweli umeacha milango kiasi cha nzi,mende,chawa,kunguni,wote wanaingia,yaani unaongopa bila kutoa fact zozote halafu unataka tuchangie peleka ujinga wako kwa mamayo

Utakuwa unaumwa au umesahau akili home
 
Kila la kheri. Palipo na nia pana njia. La msingi ni kumtambua mnaeshindana nanyi ni mzoefu mbobeji wa kucheza foul. Zijueni hizo foul na kuzidhibiti.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kimezamiria kutwaa ushindi kwa kata zote tisa za kanda ya Kaskazini zitakazoshiriki uchaguzi mdogo wa Madiwani Tarehe 16 mwezi huu.
Mtoa uzi huu aliwasikia kwa karibu katibu wa Kanda ya Kaskazini Amani Golugwa akiwa na Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Kanda hiyo ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama hicho na Pia Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema wakipanga mikakati hiyo juzi usiku katika Hotel Moja inayomilikiwa na KKT Mjini Arusha.
Katika Mikakati hiyo wamehusisha na kutawanya wabunge wake machachari na maarufu katika kata hizo huku wazamiria kufunga kampeni kwa Kishindo siku ya Tarehe 15 mwezi huu.
Pia walisikika wakipanga Mawakala wakuu ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA DR. Slaa ndiye atakayekuwa wakala mkuu huko Muheza wakati Freeman Mbowe atakita Arusha kama Wakala Mkuu huku Joshua Nasari akiwa Makuyuni Monduli wakati Tundu Lissu atakuwa Mbulu na Mchungaji Msigwa akiwa Babati huku Lema, Mh Ndesamburo na Golugwa wakifanya Overall Supervision angani kwa kutumia Helicopter.
Tayari wameshapanga makamanda wao watakaowasambaza katika katika hizo katika wiki ya Mwisho ya kampeni wakiwemo wabunge wote wa kanda hiyo kupitia Chadema, Madiwani Machachari na Makamanda Chipukizi lakini wenye ukali wa Hoja na wanaojua kulimiliki jukwaa vilivyo ambao wengi wao wanatajwa kuwania Majimbo mbalimbali 2015
wote kwa pamoja watakuwa wakimwaga sera za chama hicho na kuitia CCM kaburini.

Penye bold hapo ni uthibitisho CDM ni chama cha Kaskazini; kusini na mashariki hawana mpango!! CDM kwa ubaguzi wa kikanda mwastahili pongezi
 
Mods hawa mumiani wanaochafua jamvi umewatoa wapi kweli umeacha milango kiasi cha nzi,mende,chawa,kunguni,wote wanaingia,yaani unaongopa bila kutoa fact zozote halafu unataka tuchangie peleka ujinga wako kwa mamayo
Kwa upofu wako wa fikra, hujui kwa kusoma mada peke yake ni zaidi ya kuchangia kwa sababu ujumbe utakuwa umefika.

Cha kushangaza hutaki watu wachangie wakati wewe tayari umeishachangia.

Kwa fikra zako hizi fupi, ndiyo unafikiria unaweza kuwafundisha MOD's kazi?
 
Jamani wamiliki wa CHADEMA. Siyo vizuri hata kidogo kutowaonea huruma ''makamanda'' wa sehemu nyingine ambako kampeni za udiwani pia zinaendelea.

Yaani pikipiki mgao wa kwanza, kaskazini.

Helicopter, kaskazini.

Matumizi mengi ya pesa za kampeni, Kaskazini

Viongozi wengi ndani ya chama, Kaskazini

Kufanya kadri upendavyo ndani ya chama, Kaskazini.

PLEASE!! Kwani huko kaskazini kuna nini?
 
Mods hawa mumiani wanaochafua jamvi umewatoa wapi kweli umeacha milango kiasi cha nzi,mende,chawa,kunguni,wote wanaingia,yaani unaongopa bila kutoa fact zozote halafu unataka tuchangie peleka ujinga wako kwa mamayo

mbona unampinga kamanda mwenzako?
 
Jamani wamiliki wa CHADEMA. Siyo vizuri hata kidogo kutowaonea huruma ''makamanda'' wa sehemu nyingine ambako kampeni za udiwani pia zinaendelea.

Yaani pikipiki mgao wa kwanza, kaskazini.

Helicopter, kaskazini.

Matumizi mengi ya pesa za kampeni, Kaskazini

Viongozi wengi ndani ya chama, Kaskazini

Kufanya kadri upendavyo ndani ya chama, Kaskazini.

PLEASE!! Kwani huko kaskazini kuna nini?

Kanda ya kati wamekabidhiwa bajaji mkuu ila huko kaskazini ni balaa. Tukisema hawa jamaa ni wakanda wanapinga kwa vurugu nyingi.
 
Chama cha kaskazini hicho nyie vibwetele wengine mtalia tu hamatasikilizwa.Halafu na nyie wengine mnajita wanachadema mbavu kabisa
 
Pia walisikika wakipanga Mawakala wakuu ambapo Katibu Mkuu wa CHADEMA DR. Slaa ndiye atakayekuwa wakala mkuu huko Muheza wakati Freeman Mbowe atakita Arusha kama Wakala Mkuu huku Joshua Nasari akiwa Makuyuni Monduli wakati Tundu Lissu atakuwa Mbulu na Mchungaji Msigwa akiwa Babati huku Lema, Mh Ndesamburo na Golugwa wakifanya Overall Supervision angani kwa kutumia Helicopter.
Tayari wameshapanga makamanda wao watakaowasambaza katika katika hizo katika wiki ya Mwisho ya kampeni wakiwemo wabunge wote wa kanda hiyo kupitia Chadema, Madiwani Machachari na Makamanda Chipukizi lakini wenye ukali wa Hoja na wanaojua kulimiliki jukwaa vilivyo ambao wengi wao wanatajwa kuwania Majimbo mbalimbali 2015
wote kwa pamoja watakuwa wakimwaga sera za chama hicho na kuitia CCM kaburini.

Huu ni UZUSHI,
Alafu kata ile ya Singida anamuachia nani?
 
Chadema hapa jijini DSM, wilayani Temeke, kata ya Mianzini Mbagala mmesahau pia kuna uchaguzi wa udiwani Juni 16, 2013??? Siyo vizuri kila jambo kufanyia Kaskazini
 
MAFILILI acha kuhangaika wewe rudi Mianzini huku tuendelee kukufundisha siasa. Mambo ya kaskazini huyawezi kabisa hata mwamba wenu wa kaskazini fisadi lowasa amebanwa pumzi karibia anapata pressure, sasa wewe mtoto mdogo tena nimesikia ccm wametia ndani nssf yako utauweza wapi muziki wa kaskazini?
 
Last edited by a moderator:
Jamani wamiliki wa CHADEMA. Siyo vizuri hata kidogo kutowaonea huruma ''makamanda'' wa sehemu nyingine ambako kampeni za udiwani pia zinaendelea.

Yaani pikipiki mgao wa kwanza, kaskazini.

Helicopter, kaskazini.

Matumizi mengi ya pesa za kampeni, Kaskazini

Viongozi wengi ndani ya chama, Kaskazini

Kufanya kadri upendavyo ndani ya chama, Kaskazini.

PLEASE!! Kwani huko kaskazini kuna nini?

Madhara ya kuliberaliwa
 
Taarifa zako za mgawo wa pikipiki ni za uongo kwani zilianza kugawanywa kanda ya ziwa, kati na kisha wakapewa hao wa huko ,ila wa huko wanajua kujitangaza ndio maana , hata magari yalishagawanywa siku nyingi , tatizo ccm mlikuwa mmelala na Nnape anakurupuka kuwa hilo ni kinyume na katiba ya chadema ...
 
Back
Top Bottom