CHADEMA yaondoa Madiwani wake 2 wa utovu wa nidhamu

Madhara ya Chama kununuliwa ndio haya sasa...Chadema asili wanahangaika kukiokoa chama huku Chadema maslahi wakitaka kukamata Chama kwa Rushwa.
 
Ungetuwekea na Majina yao hapa,ingependeza zaid na maeneo yao wanayoyaongoza pengine inawezekana na diwan wangu yupo...
 
Hatua nzuri kila chama kina katiba ambayo inawaongoza. Unapovunja kanuni za chama kuna hatua za kinidhamu unaweza kuchukuliwa au kuamua kujichukulia mwenyewe
 
hao hawajatimuliwa bali wamejiondoa sikiliza taarifa uliyoileta na wala sio msaliti, ni kupakana matope hizi siasa za kuchafuana sio nzuri
 
Wamejiondoa au chama kimewaondoa?

Muwe mnaandika vichwa vya habari vizuri muweke ushabiki pembeni.
 
Madhara ya Chama kununuliwa ndio haya sasa...Chadema asili wanahangaika kukiokoa chama huku Chadema maslahi wakitaka kukamata Chama kwa Rushwa.
Acheni kujitekenya wenyewe halafu mnacheka chadema for the past 5years kimekuwa kikikua sana angalia chaguzi ndogo baada ya 2015 hakuna mahali CCM wamechukua kiti cha chadema isipokuwa chadema wamechukua vya CCM
 
Janja ya Mbowe kutusahaulisha skendo yake na Wema Sepetu! Mbowe, Lowassa na Sumaye Tuachie Chadema yetu!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom