CHADEMA yang'ara Morogoro

Yaani kata ilikuwa imeshikiliwa na ccm, diwani wao akafariki, uchaguxi ukafanyika upya ccm ikapigwa chini? What happened?

Ndugu zangu ccm bado tuna kazi kuuhisha chama. Nilijua hiyo kata ilikuwa ya chadema kumbe ilikuwa inashikiliwa na CCM?

What a pity! Mwenyekiti anza kufukuza viongozi wa ccm kwenye hiyo kata na hata jimbo!

Haiwezekani zaadi yetu kwa mwenyekiti mpya iwe kupoteza kata. Haiwekani. Fukuza mara moja hawa masalia wa Lowasa! Nimeandika hii kwa niaba ya Lizabon, Tatamadiba, jingalao et al, naona bado wana hangover ya ulabu wa jana baada ya sherehe!
 
Kwani hilo jimbo Lowasa alipata kura ngapi na CCM walipata kura ngapi?
Mimi huwa sishangazwa na hayo matokeo ya chadema kushinda kwenye baadhi ya vijiji na wala si jambo la ajabu.

Msema ukweli huwa ni uchaguzi pekee.. Hata kabla ya 2015 chadema walikuwa wana shinda shinda vijiji lakini mlijionea wenyewe kwenye uchaguzi mkuu..

Pigeni kelele lakini uchaguzi mkuu 2020 ikifika mtajionea wenyewe....
Wee na ww Ruta , wenzio akina Elizabon wameukwepa huu uzi lkn ww unatuletea lipua lako hapa ...ngoja wakupe za uso ukamweleze mjomba yako magu...nyambafu ...
 
8fa64cd96e693757cc92c1bcc915762b.jpg
 
Kumbe kasi ya Magufuli inawabadilisha wananchi wameamua kubadili chama, na huu ndiyo mwanzo tu bado kiama kinakuja kwa ccm
 
Wanaccm wanadhani wakiwapa watz barabara nzuri maji na hata dawa hospt ndo wataipenda ccm kumbe sio kweli maana mtu mmoja akitawala kwa muda mrefu anachokwa na watu je si zaidi kwa ccm inayo laumiwa kwa mambo mengi mabaya ktk nchi hii.
 
Licha za mbio mbio na kauli zote hizi bado wananchi hawajaielewa CCM?. Usione tembo kainama ujue.......
 
Mwenyekiti angekuwa Pro Safari
Makamu Prof Mukandara
Katibu Mkuu Mnyika
Naibu Katibu Heche

Then Zitto Kabwe tungemuandaa kugombea 2020

Kwa madudu haya ya Magufuli basi 2020 tungeenda Ikulu hata kama wasimamizi wangekuwa wana CCM tungewanyuka tu hawa CCM!Lkn kwa utawala huu wa Mbowe na mwenzake Dr Mashinji hata TUME HURU hatuisumbui CCM 2020
 
Yaani tatizo la Magu anadhani wananchi wataipigia CCM kura kutokana na kauli zake za kibabe na za kutozingatia sheria za nchi, kama ile aliyoitoa jana kwenye mkutano Mkuu wa CCM, aliposema kuwa kama angelikuwa yeye ndiye Mwenyekiti kipindi kile cha uchaguzi mwaka jana wakati wajumbe wa NEC walipokuwa wakiimba tuna imani na Lowassa, yeye 'angewapoteza' zaidi ya nusu ya wale wajumbe!

Kwa namna JPM anavyoendeleza vitisho na ubabe kwenye utawala wake ndivyo wananchi wanavyozidi kuwa na chuki na utawala wake kuelekea kwenye chaguzi zijazo kwa kuwa nchi haipaswi kuendeshwa kwa 'mikwara' bali inaendeshwa kwa kufuata Katiba ya nchi.
Ule hakuwa mkutano mkuu, Bali gulio la mboga mboga tu.
 
Piga makofi basi kama umefurahi

KILIO CHA WANA CCM WOTE HIKI. NA BADO........

crying-with-laughter.gif


cryingendofmylife.gif



HAPO INA MAANA CCM WALISHINDWA KUCHAKACHUA KWANI CHAGUZI ZOTE CCM NI WACHAKACHUAJI WA MATOKEO.

HONGERA SANA MAKAMANDA WA DOMA MOROGORO KWANI MNAJITAMBUA.​
 
Katika kuthibitisha ule usemi wa kwamba hata akija malaika kugombea CCM atakuwa mwizi ama jambazi, na atakataliwa na wananchi tu

Leo hii imethibika katika kata ya Doma wilaya ya Kilosa baada ya uchaguzi mdogo kufanyika kufuatia kufariki kwa diwani wa kata hiyo alietokea CCM kufariki dunia December mwaka jana, na hatimaye mgombea kutoka UKAWA/CHADEMA Kuibuka mshindi kwa kupata kura 515 dhidi ya mgombea wa CCM alieangukia pua kwa kupata kura 312.

CCM wanaanza kuisoma namba wenyewe.

cc ; Mwenyekiti wa CCM - Taifa.
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom