CHADEMA yamvuruga Waziri Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yamvuruga Waziri Magufuli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Oct 2, 2012.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mikutano ya Vuguvugu la Mabadiliko (M4C) inayofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani hapa, Mkoa wa Geita, imezoa makada 201wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiwamo Mwenyekiti wa
  Kitongoji cha Buhungu, Kata ya Kigongo.

  Makada waliotimkia Chadema kutoka Jimbo la Chato linalowakilishwa na Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, kwa nyakati tofauti, wanatoka katika Kijiji cha Muganza, Kasenga, Busaka na Igando, Kata ya Bwera, ambako chama hicho kimefanya mikutano ya hadhara.

  WanaCCM hao walidai wamekihama chama hicho kwa sababu wamechoshwa na mwenendo wa siasa zake, walizodai zimechangia maisha ya wananchi kuwa magumu.

  Source:Nipashe
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hawa ccm si walivunja nyumba za wananchi huko?
  acha wale jeuri yao.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duhh makilomita haya.
   
 4. C

  Chademason Member

  #4
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good news. change is soon coming.
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  M4C With no apology
   
 6. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #6
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thanks,freedom near the door
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,729
  Trophy Points: 280
  Hakuna kulala mpaka kieleweke!
   
 8. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Kanyaga twende makamanda, mpaka kieleweke. Pipoooozz,,,,,Pawaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hakika wananchi kule wameamua.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  For sure...
   
 11. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,092
  Likes Received: 11,229
  Trophy Points: 280
  tatizo anajenga kwa watu anasahau nyumbani kwake. Japo Magufuli ni jembe, lakini mwache aende na mafuriko ya M4C. Liwalo na Liwe.
   
 12. IKHOIKHOI

  IKHOIKHOI JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 366
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hizo ni rasha rasha tu,
  ngoja sasa dr magufuli aje akiwa amekariri urefu wa kutoka dar hadi geita kwa kilometer
   
 13. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Chadema go go. hakuna kulala
   
 14. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  AKSANTE BABA. JIMBO ILO LA MAGUFULI 2015 TUTAKUWA TUNAMKABIDHI KAMANDA PIA DR BENEDICTOR LUKANIMA. MAGUFULI ITABIDI AJIFUNZE UVUVI KWANI HATOKUWA NA CHAKE. PEOPLEEES POWEEEERRRr....
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Jembe gani hili? Huyu magufuli ni hasara kubwa sana kwa taifa na CCM.

  Hatasahaulika kwa matukio ya Igunga, uuzwaji nyumba za serikali, hasara za ubomoaji holela nk.
   
 16. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hasara ya kutunza samaki pia
   
Loading...