CHADEMA yamuangukia Rais Magufuli uchaguzi wa Serikali za Mitaa

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Kupitia Azam UTV naomuona John Mrema akilalamika kuwa wamefanyiwa hujuma na anamuomba Rais John Magufuli kuingilia kati

Hii inaonesha kuwa mtoto amezidiwa na sasa anamuomba baba mzazi aje kwa ninavyomfahamu Rais alivyo mtu wa watu na huruma pia utu atawahakikishia kuondoa zengwe lolote

Nawaomba wanachadema ukishasaidiwa mtokeze hadharani kushukuru.

State agent
 
Waache kulialia tuliwaambia Magufuli sio mtu mzuri wao hawakusikia kwanza Hawa wapinzani wanafiki wanavyonikera wangeshindwa woote ibaki ccm
 
...vyama vyote vinapaswa kuwa na HAKI sawa mbele ya vyombo vya dola, mahakama, na tume ya uchaguzi.

..hatupaswi kushangilia au kushabikia waTz wenzetu wanapoonewa na kunyimwa haki zao za msingi.
 
Waache kulialia tuliwaambia Magufuli sio mtu mzuri wao hawakusikia kwanza Hawa wapinzani wanafiki wanavyonikera wangeshindwa woote ibaki ccm

Mfumo wa chama kimoja ndiyo mtukufu magufuli anautaka ili awe Rais wa milele kama China au akae ikulu kama Rais wa Uganda, Cameroon
 
Kupitia Azam UTV naomuona john mrema akilalamika kuwa wamefanyiwa hujuma na anamuomba mh.rais John Magufu kuingilia kati

Hii inaonesha kuwa mtoto amezidiwa na sasa anamuomba baba Mzazi aje kwa navyo mfahamu mh rais alivyo mtu wa watu na huruma pia utu atawahakikishia kuondoa zengwe lolote

Nawaomba wanachadema ukishasaidiwa mtokeze hadharani kushukuru.

State agent
Hiyo ni tahadhari imeyotolewa kwa lugha ya kiungwana msiwabeze
 
Back
Top Bottom